Recent content by Nadu

  1. Nadu

    Kwa jibu la mmoja wa wagombea Urais nchini kwetu Tanzania, hivi Katiba ya nchi inasemaje haswa juu ya uhuru wa faragha (privacy)?

    Faragha ni nini? umenukuu kifungu cha Faragha katika katiba. Weka nukuu ya kifungu cha sheria pia kuhusu ushoga ili kubalance. Sipendi ushoga na sita kujapenda ila nataka kujua hoja ya kisheria. Kama tuna mapungufu kisheria tujue ili tujisahihishe hilo tu.
  2. Nadu

    GE2020 Tundu Lissu kukosa pesa ya kampeni

    Si watu wanasema ametumwa na mabeberu? Hao hao watampa ninyi mnalalamoka nini?
  3. Nadu

    WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    mdomo hauna ulimi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nadu

    Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

    nchi hii ni tajiri asikuambie mtu. Tupime tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nadu

    Wanaohitaji kuchimbiwa visima vya maji tuonane hapa

    Gharama za kupima na kuchimba tafadhali. Maji yakikosekana tunafanyaje Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nadu

    Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    Ujumbe murua chokonozi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Nadu

    Nahitaji screen ya Mac 2012

    Ahsante. Full set ina maana gani mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nadu

    Nahitaji screen ya Mac 2012

    Wadau wa JF nawasalimu, Nimevunja kioo cha PC yangu aina ya Mac ya mwaka 2012. Nimeambatanisha picha ambayo inaweza kusaidia specifications zake. Kama unayo wasiliana nami kwa namba 0622 328 549. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nadu

    Kwanini baadhi ya Watanzania hufurahia sana mabaya yanapotutokea kama Taifa?

    Angalia historia yetu tangu uhuru. Je kuliwahi kuwa na kipindi cha chuki kama hiki? Kwa nini sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nadu

    Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

    Lango la baraka ni Yesu mkuu. Kusema ni mzaliwa wa kwanza ni kuminimize position ya Yesu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nadu

    Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

    Sina cv yake. Mimi namheshimu ila ninawasiwasi na doctrine yake ya "mzaliwa wa kwanza lango la baraka" Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Nadu

    Barua ya Albert Einstein kumhusu Mungu yauzwa kwenye mnada kwa bei ya $2.9m(£2.3m).

    Anikajema hii inaitwa "Apologetics" God bless you. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Nadu

    Barua ya Albert Einstein kumhusu Mungu yauzwa kwenye mnada kwa bei ya $2.9m(£2.3m).

    Kama vipo vinavyoonekana pia vipo visivyoonekana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Nadu

    Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA

    Kwa nini asiwajoin hata ccm? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Nadu

    BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali - Crypto currency

    Fedha za kimtandao ni zipi? Ni kama kulpia bidhaa nje na PayPal?
Back
Top Bottom