Recent content by nad

  1. nad

    JamiiForums Tanzania Abortion

    Midhal sisimiz tu huwez kumpa uhai itakuwa huyo mtoto utakapomtoa cku akija kudai umpe uhai hapo ndo utakuwa na majuto. Na km ulikuwa huitaki uliibebea nn kuwen na akil. Mnavaa socksi kabla hamjapata kiatu
  2. nad

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwanini wanapopata new mpenzi husahau kabisa wa nyuma

    Unauhakika gan kesho hatokuwacha tena.. Ukimwi upo unauwa dogoo
  3. nad

    JamiiForums Tanzania Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Best perfyum ni ISSEy MIYAKE or GUCCI GUILTY 4 men
  4. nad

    JamiiForums Tanzania I swear...am a Lion

    Duuuh kuna wigi mpk la mbwa hatar hahaa
  5. nad

    JamiiForums Tanzania 'USAFI WA NDANI' kwa kina dada...

    Mm cjamaanisha abt kuoga nimemaanisha kwenda saloon na mengine kukwatua vengine ukitoa haziot mwez but c kwa wembe kwa maarifa mengine hahahahahha.. 2 days kwa mwezi???atanuka kama beberu,mwanamke hujiswafi kila siku,miili yetu ni tofauti na yenu,usafi ni suna kwa...
  6. nad

    JamiiForums Tanzania 'USAFI WA NDANI' kwa kina dada...

  7. nad

    JamiiForums Tanzania 'USAFI WA NDANI' kwa kina dada...

    Hahaaaa dah.. Wawe wanachagua 2 days ktk month ya kujisafisha tu ukweli ni nomaaa
  8. nad

    JamiiForums Tanzania hii ndio picha yangu kama nilivyohaidi kuiweka wik hii

    Mashallaaah allah ibbarik u lo0k gud na body inalipa hahaaa.. Uza nyagoo
  9. nad

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    Hiyo michirizi hata wanaume wanayo co wanawake tu na ni kawaida hujakosa la kuchunguza kweli... Kamchunguze kuku km utamla
  10. nad

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya madem hususani wa mjini Daslam...

    Hahahha.. Unajuwaje kama anacheza upatu. Au kakopa tu hahahah
  11. nad

    JamiiForums Tanzania Mpenzi anataka nisinyoe

    Mwambie utapata infection au fangas hahaa.. Hop atakuelewa
  12. nad

    JamiiForums Tanzania Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

    Black is beuti white is biscut hahaaa mm nawapenda woteee tu
  13. nad

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri!!!

    Pole.. Jaribu kuchange styl na jaribu ww kuwa mjanja ucwait mpk yy akufanyie ww kitu. Na jitahid umvute akili yake iwepo hapo mlipo co kwengine au mastress
  14. nad

    JamiiForums Tanzania Wengi wanakuita shemeji ama wifi kinafiki,unamegewa hawasemi.

    Ukiona shida zinazidi kila kukicha juwa ushakuwa ATM bora kula kona hahah
Back
Top Bottom