'USAFI WA NDANI' kwa kina dada...

Nyani Ngabu mbona usafi ni mwepesi sana na unawezekana tu.tatizo wadada wengi wanajisahau.wala haihitaji mambo ya kizungu kujiweka safi,yaani kuna vitu asilia tu mfano barafu kwa kuboreshea papuchi na kuondoa harufu.Pia kuna pozi za kuzuia harufu ambazo inatakiwa mtoto wa kike azijue yaani wala haihitaji uwe na pesa ili uwe msafi.
Yaani watu wakizama chumvini hawatoki ful burudani na mwanaume habanduki,akiondoka anarudi.
Chezea usafi wewe
Weeee, nani azame kwenye chumvi za kiafrika. Kama si kutapika basi kuharisha kunamhusu
 
Mm cjamaanisha abt kuoga nimemaanisha kwenda saloon na mengine kukwatua vengine ukitoa haziot mwez but c kwa wembe kwa maarifa mengine hahahahahha.. 2 days kwa mwezi???atanuka kama beberu,mwanamke hujiswafi kila siku,miili yetu ni tofauti na yenu,usafi ni suna kwa mwanamke.....
 
Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe

Utakuta demu mkali tu tena ni 'working class', ila wkt unamuandaa kwa ajili ya 'bed_fight' unakutana na harufu flaniflani either makwapani, kwenye nywele, ananuka mdomo n.k, au unakuta kavaa chupi/braa nyeusi-its obvious atakua mchafu tu, iweje apendelee rangi ambayo ni 'rafiki wa uchafu'

Personally nikigundua una udhaifu huu, sitakutumia siku hiyo, au ukibahatika nikakutumia basi sitarudia

Hebu badilikeni bwana, bodyspray kibao mitaani, tena bei chee!
si umwambie mwenyewe, hlf kwani kutumiwa na wewe ni bahati???!! Wenzio hawana hicho kiungo? Acha kudhalilisha dada zako na mama zako kwa kuwazungumzia wanawake bila kutumia lugha ya kistaarabu
 
Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe

Utakuta demu mkali tu tena ni 'working class', ila wkt unamuandaa kwa ajili ya 'bed_fight' unakutana na harufu flaniflani either makwapani, kwenye nywele, ananuka mdomo n.k, au unakuta kavaa chupi/braa nyeusi-its obvious atakua mchafu tu, iweje apendelee rangi ambayo ni 'rafiki wa uchafu'

Personally nikigundua una udhaifu huu, sitakutumia siku hiyo, au ukibahatika nikakutumia basi sitarudia

Hebu badilikeni bwana, bodyspray kibao mitaani, tena bei chee!

we mbona unavaa viatu vyeusi, we mchafu?
 
Back
Top Bottom