Recent content by Naashaa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu confirmation code kutoka TCU

    Hata ikipatikan haipokelewagi iyo... Tafut tu unaemfaham dar aende tcu,, tatizo lako litatatuliwa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huhusu codes za TCU

    Polee... Na mm nilikuwa n ilo tatizo ila niliagiza mtu tcu jan akaenda kufatilia ilo swala.... Alipewa fomu akanijazia baadh ya detail na jion hii tcu wamenitumia code.... Nilikuw nawaz kam nn yan bt ssiv ALHAMDULILLAH.... Fatilia tcu utapat..
  3. N

    JamiiForums Tanzania naskia kuna wadu mmeenda ofisi TCU

    Je je kwa ambae amechaguliwa chuo zaidi ya kimoja na hayupo kwenye orodha ya multiple tcu?
  4. N

    JamiiForums Tanzania UDOM second round

    Me nimechaguliwa second round ila hat code tu sjapata
  5. N

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Me sijapat jamn... Yn nawaza kama nn hap nilipo
  6. N

    JamiiForums Tanzania UDOM second round

    Me pia natk nicomfim udom ila izo code ht hatutumiwi jmn
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tangazo from TCU

    Tatizo tukipiga huko vyuoni hawapokei
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tangazo from TCU

    Mw Mwisho ijumaa kucomfirm wakt hat special code sijatumiwa na kwenye iyo list ya multiple selection simo n nimechaguliwa chuo zaid y kimoja.... Duh!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NIT second selection....

    Sio ww tu.... Me first round skupat chuo ht kimoj ila second round nimechaguliw udom mzumbe na jordan lkn la kushangaz, tcu walivyotoa mijin ya multiple selection langu ckulion....yn nipo tu sielew nifanyej
  10. N

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Duh! Yn mpak kwenda huko chuoni... Kijasho kimetutoka
  11. N

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Hongera.... Mm nimechaguliwa chuo zaid y kimoj lkn kwenye list ya tcu wenye multiple selection skuwemo... Ss sielewi hat km izo code ntatumiwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania UDSM wanatoa lini majina?

    Me pia UDSM wananiandikia ivyo.... Sjui shida ni nn jmn...... Udom pia hawasemi chochote
Back
Top Bottom