Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 891
- 1,237
kama uko dar nenda TCU kama huwezi kufika huko basi kama una rafiki au mtu muelewa mtume TCU kwa niaba yako utafanikiwaWengine hata code bado hatujapata
kama uko dar nenda TCU kama huwezi kufika huko basi kama una rafiki au mtu muelewa mtume TCU kwa niaba yako utafanikiwaWengine hata code bado hatujapata
Hata ikipatikan haipokelewagi iyo... Tafut tu unaemfaham dar aende tcu,, tatizo lako litatatuliwanamba haipo naambiwa ivyo
tatizo sina ndugu yeyote huko may be wewe kwa ubinadam wako uvae uhusika huo ili unisaidieHata ikipatikan haipokelewagi iyo... Tafut tu unaemfaham dar aende tcu,, tatizo lako litatatuliwa
sawa mkuuNi
Nitafute kw no 0625910508
0222113691namba haipo naambiwa ivyo
Hakuna mbongo anaekosa ndugu dsm...kwanini usirahisishe zoezi akaenda kukujazia hatakama upo mwisho wa reli. Hembu mtafute ndugu yako hata kama yupo mkuranga adamke asubuhi na mapema ofisi za Tcu akakujazie hio fomu. Watanzania mambo mengine tuwe serious tuache ubishi..#Kila la kherinamba haipo naambiwa ivyo
kaka kesi yako na yangu zinafanana hadi nukta,yaani nashindwa kuelewa maana chuo kingine ambacho inadaiwa kuwa nimechaguliwa sijakijua na jina halipo kwenye vile vyote nilivyoapplyhabar wakuu,Mimi nilichaguliwa selection ya pili nkwawa kama direct yaan nilpata chuo hcho tu na nilipoangalia kwa wale waliotoka kwenye multiple sikuwepo na profile zoote za vyuo nlivyoomba zilionesha kuw ckuchaguliwa isipokuw udsm campus ya MUCE .lakin cha kushangaza Leo nimeingia kwenye akaunt yangu ya udsm eti inaonesha kuwa nmechaguliwa chuo zaid ya kimoja na sasa inatakiwa codes ili niweze Ku komfirm.sasa najiulza Kuwa nawezaje kukomfirm wakat nmechaguliw chuo kmoja na system inataka nicomfirm?msaada wakuu mana Milo Mkoan huku sielew nifanyeje
kwan na ww umechaguliwa MUCE maana kuna watu kama 3 HV wte wa MUCE raund ya pili wanatatzo kama hili.ebi tujuzane katka hilikaka kesi yako na yangu zinafanana hadi nukta,yaani nashindwa kuelewa maana chuo kingine ambacho inadaiwa kuwa nimechaguliwa sijakijua na jina halipo kwenye vile vyote nilivyoapply
Wewe uliomba vyuo vipi?kwan na ww umechaguliwa MUCE maana kuna watu kama 3 HV wte wa MUCE raund ya pili wanatatzo kama hili.ebi tujuzane katka hili
Mkuu wewe una demu mmoja utakua haujiaminiHayo ndio madhara ya kutokujiamini. Chagueni chuo kimoja muachane na hizo adha!
Unalipwa niniUDOM FIRST YEAR 2018/19 WHATSAPP GROUP:
Kama umechaguliwa Kujiunga na masomo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) bofya link hapo chini tukutane pamoja ili tuweze kusaidiana Mambo mbalimbali muhimu unayotakiwa kuyajua wakati unaenda kuripoti UDOM.
UDOM FIRST YEAR
Saidia kusambaza Link ili kuwafikia walengwa.
HIZO NI SHOBO KIWANGO CHA SGRUDOM FIRST YEAR 2018/19 WHATSAPP GROUP:
Kama umechaguliwa Kujiunga na masomo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) bofya link hapo chini tukutane pamoja ili tuweze kusaidiana Mambo mbalimbali muhimu unayotakiwa kuyajua wakati unaenda kuripoti UDOM.
UDOM FIRST YEAR
Saidia kusambaza Link ili kuwafikia walengwa.
Teh! teh!..huyu jamaa Nipe Andiko ni mjanja sana naona ameweka mtego wa kujiandalia vitafunwa(wadada hopeless) awapo yudomuHIZO NI SHOBO KIWANGO CHA SGR

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Teh! teh!..huyu jamaa Nipe Andiko ni mjanja sana naona ameweka mtego wa kujiandalia vitafunwa(wadada hopeless) awapo yudomu![]()
![]()
![]()
ndio mkuu nimechaguliwa Muce ila Leo nimeingia tena kwenye profile yangu nimekuta wamesha-confirm tayarikwan na ww umechaguliwa MUCE maana kuna watu kama 3 HV wte wa MUCE raund ya pili wanatatzo kama hili.ebi tujuzane katka hili
Bora washacomfermndio mkuu nimechaguliwa Muce ila Leo nimeingia tena kwenye profile yangu nimekuta wamesha-confirm tayari
Kesi yako kama yangu nasubiri watoe raundi ya 3 labda nitaona tofautiWadau naomba msaada wenu cz nimem2ma m2 tcu lkn mpk dk hii cjaona code tangu j3 hadi leo alhamic alaf jina langu halipo kweny multiple but nimechaguliwa vyuo viwili