naskia kuna wadu mmeenda ofisi TCU

newbiee01

Member
Jul 21, 2018
97
20
Nmeeamabiwa kua kuna watu wengi amja pata code kwa walio enda ofisni mlioko udsm mtujuze kilicho jili uko tafadhali
 
Mbona bado haujaeleweka embu elezea ni nini unataka ufahamishwe zaidi maana sio wote wanatatizo Moja walienda pale TCU
 
Kama haukupata bac Leo wahi mapema pale kwenye office zao kuna karatasi utapewa ujaze had jioni utakuwa ushatumiwa code zako wote walioenda wametumiwa Ila kama jina lako lipo kwenye orodha ya multiple ya TCU
 
Je

je kwa ambae amechaguliwa chuo zaidi ya kimoja na hayupo kwenye orodha ya multiple tcu?
 
Je
je kwa ambae amechaguliwa chuo zaidi ya kimoja na hayupo kwenye orodha ya multiple tcu?
Kama haupo kwenye orodha yao ya TCU ya multiple bac wao wanasema uwasiliane na hivyo vyuo ulivo chaguliwa maana wao taafa zako kutoka kwenye hivo vyuo hazijawafikia ndo maana jina halijatokea
 
Back
Top Bottom