Recent content by na unimanye

  1. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Janga jipya: Mashine za wachina

    Write your reply...Huku kwetu kila Baada ya Nyumba nne kuna moja!
  2. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu shoti za umeme ndani ya nyumba ...

    Boarding Tulikuwa tukichemsha maji kwa kutumia vijiko kimoja tunakifunga waya wa negative na kingine positive kisha tunaweka Kwenye jag... Tutapata chai.. Swali... Kwanini haitokei short circuit ya Live na Neutral ikiwa imeunganishwa Kwenye maji... Maji ambayo pia Conductor?
  3. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

    Mbona hawarudii.. Au wamesha Dafuliwa?
  4. na unimanye

    JamiiForums Tanzania I. T.V acheni chuki na CUF

    Ushakunywa chai lakini!
  5. na unimanye

    JamiiForums Tanzania I. T.V acheni chuki na CUF

    Mtazamo wako huo
  6. na unimanye

    JamiiForums Tanzania I. T.V acheni chuki na CUF

    Nimekupata sana mkuu
  7. na unimanye

    JamiiForums Tanzania I. T.V acheni chuki na CUF

    Nimekuwa nikifuatilia sana Taarifa ya Habari ya itv tangu kampeni za uchaguzi za jimbo la kinondoni itv haijawahi kutoa Taarifa za mgombea Cuf... Mara mnamtambulisha Salim Mwalim kuwa ni mgombea wa Ukawa..! Ukawa upi wakati kila Chama kimeweka mgombea? Mgogoro uliopo Cuf ni wa Cuf wenyewe...
  8. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Ukisikia ufala wa kiwango cha standard gauge ndio huo sasa unaouleta
  9. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

    Halafu!?
  10. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Je, unapenda kufanya mapenzi mda gani?

    Muda wowote" Mshobobo" ukisimama
  11. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Watoto shooow.... Watoto wasafi moyoni... Njooo tazama utawaonaaa
  12. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Hivi gwajima... Yupo kweli....!?
  13. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa CUF, sura halisi ya Magufuli na serikali yake.

    Seifu nenda buguruni ukapangiwe kazi na chairman wako.... Chadema wamekudanganya na wanaendelea kukudanganya.... Professor amekuita mara nyingi ungekubali wito Mkakaa haya yote yasingekuwepo ila ubabe na kutokuiheshimu katiba ya chama Na kujiona wewe ndio kila kitu ndio haya yanayokutokea puani sasa
  14. na unimanye

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa CUF, sura halisi ya Magufuli na serikali yake.

    Aingie Chadema mara ngapi na alishapokea advance Kwa Lowasa kama ambavyo Mbowe alivyopokea
Back
Top Bottom