Janga jipya: Mashine za wachina

Janga jipya: Mashine za wachina

Hatar. Maana watoto watakuwa wezi ili wapate hela ya kwenda kuchexea hayo. Na watakuwa hawafiki shule watakuwa wanaishia njian kwenda kuchexa hayo.. serikalo isiyafumbie macho hayo.. sheria ifate mkondo wanayoyamiliki wafungiwe biashara zao na wanyang'anyanywe leseni za biashara na kuchukuliwa hatua kali sana..
 
Haya yanapaswa kuwekw seemu maalumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
biko ndogo iyo, inalipia kodi, wacha iendelee kusavaiv
 
kwakweli ilo dude ni janga la taifa.apanilipo ninakesi sijaimaliza mahakamani kisa ni ilo dude.anaetakakujua sababu ya kunipa kesi ilo dude aulize tu nami nitamjibu....
 
Nipe sababu mkuu tujue.mm Jana usiku nimeona watu wamepigana chupa Na kupasuana wakigombania Mia mbili 3 yan jumla Mia sita tuuuu ili watumbukize umo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: a45
Back
Top Bottom