Recent content by Na hili mkalitizame

  1. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Huyu jamaa ni mkorofi sana sijui huwa anajiamini kitu haishi vizuri hata na wanaomzunguka hata sasa huko Handeni ana mitifuano mikali na jirani yake. Inasemekana jamaa ameamua kujenga ukuta kwenye eneo la barabarani ili kumzuia jirani yake aside na sehemu ya kupita kuingia kwake. Jirani yake...
  2. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Mbona sisikii tena kauli mbiu ya Hapa kazi Tu?

    I always believe that the members in this network are very intelligent. but others have little ability to think surpassed by my fifth child.
  3. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii kila kitu wanataka kiitwe jina la Rais. Kunahitajika sheria mahususi

    Huu upuuzi umeendelea hadi barabara za mitaa zimepewa majina ya hovyo.
  4. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Timu zilizofuzu nusu fainali ya caf champions league 2023 ndio hizo hizo zimefuzu Caf AFL 2023. Hakuna timu mpya

    This time amekosekana WAC. Nusu fainali hii itakuwa na sura ngeni kidogo.
  5. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    https://www.jamiiforums.com/threads/utabiri-robo-fainali-cafcl-nusu-fainali-mpaka-mshindi-wa-cafcl.2193412/ Kama kuna mfanano na alichoandika huyu. Tusubiri tuone.
  6. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

    Kwa kweli awali ya yote nimshukuru Mweshimia Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani.
  7. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

    Vijana watiifu.
  8. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

    Wameangalia fursa.
  9. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Leo nimerudia kuzisikiliza Msinitenge, Ni Kazeze, Kosa la Marehemu, Bush Party na Homa Dunia

    Starehe ya Ferouz akazawadiwa gari na Ben Mkama.
  10. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Leo nimerudia kuzisikiliza Msinitenge, Ni Kazeze, Kosa la Marehemu, Bush Party na Homa Dunia

    Ferouz basi hebu tuliza nafsi Pole sana kwa mkasa wa bosi
  11. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anatoka nje akiwa kavaa boksa tu (nguo ya ndani )

    Nilidhani unanisema mimi ambaye nipo nyumbani kwangu usinipangie kutoka na boxer au TVS ni maamuzi yangu binafsi! Ila mchane haijakaa poa hiyo!
  12. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Wametudhalilisha sana walimu wakuu wa sekondari wamekuwa walimu wa hovyo kutokea nchini!
Back
Top Bottom