Mtoa hoja anasema Tz kuna shida kubwa mno ya ajira na hivyo utegemezi unaongezeka sana. Ni kweli kabisa lkn suluhu yake ni nini? Watu wengi tunafikiri ya kuwa sekta ya utalii ikiendelezwa inaweza kutusaidia mno katika kupunguza tatizo la ajira.Huwezi kuwa na sekta imara ya utalii kama huna...
Changamoto kubwa ni kuwa uamuzi wa uwekezaji unafanywa holela na si systematic.mko bar mnakunywa castle unapewa wazo la biashara na maneno hayo yanakuwa msingi wa uamuzi. Maswali ya kuwa : Mosi , Uwekezaji unarudi lini?.Pili, Nia ya kuwekeza ni nini i.e Cashflow au hutaki pesa zipotee? Wala...
Hiyo ndiyo raha ya kuwateua watu wenye uzoefu wa biashara na wanatoka sekta binafsi kwenye nafasi za maamuzi.kongole sana mh bashe.endelea kusema ndiyo achana na hapana za miaka ya karibuni. Binafsi nasema kila siku hivi unadhani uchumi ungekuwa na hali gani kama Charles kimei angekuwa waziri wa...
Hiyo biashara ni Bora uwe na kijiwe mjini unauza mbao utapata pesa lkn ukiingia sehemu nyingine yeyote kwenye mnyororo wa hiyo biashara , utaishia kukimbiza mwenge tu.
Kuwa na shirika la ndege ni kipande muhimu mno cha mkakati wa kuendeleza sekta ya utalii. Ni lazima tuishinde changamoto ya wadeni mbalimbali wa ATC na sovereign kukamata ndege zetu ili kutushinikiza kuwalipa.Tusirudi nyuma.
Kuendeleza maana yake si ujenge nyumba iishe, hata ukiweka msingi umeendeleza.Mimi mtazamo wangu ni speculator tu ndiye ananunua viwanja haombi hata kibali cha ujenzi fikra yake bei ipande apate faida.
Binafsi naona huo ni uamuzi mbaya kwasababu pesa hizo zinatosha kujenga barabara kwa kiwango cha lami kutoka Dar kwenda Iringa na chenji ya zaidi ya billion 100 ikabaki .Tukumbushane ni kuwa ni ilani ya uchaguzi ya 2015/2020 CCM imeahidi kujenga barabara kwa kiwango cha lami karibia km 7,0000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.