Recent content by N-handsome

  1. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

    Mbona yeye alivyokua ana operate mkoa sio wake haikua tatizo?
  2. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

    Sema unawaona bora usinisemeee
  3. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

    Hebu toa mfano wa kukaa kwa adabu na heshima
  4. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

    Tupe somo tukikutana na Rais tukae vipi?
  5. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

    Alikunyamazisha wewe
  6. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

    Kushitukiza? mbona aliachia ngazi BBC kabla uteuzi haujatangazwa? kaanza siasa hata mechi haijaanza?
  7. N-handsome

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    RIP in this situation sioni ubaya wa disclose her identity for reference.
  8. N-handsome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

    Huo ni unyanyasaji, uduni na upuuzi kama ana mahusiano mengine toka tafuta wa kwako peke yako
  9. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola vichimbue kwa kina muelekeo wa CHADEMA kutumia waliokuwa Maafisa wa Jeshi katika shughuli zake, naona wana nia ovu kwa usalama wa nchi

    Muda mwingine ficha ujinga wako, ni makamanda wangapi wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu wako CCM? Adadi Rajab yuko wapi? au ccm ndio wako exempted kuwa na hao watu? shame on you
  10. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mahakama kuwa na Sahihi ya kubandikwa na aibu kwa Muhimili

    It's technology DocuSign
  11. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Jackline Mahulwa Masanja: Nyota iliyozimwa kabla ya kuangaza

    Pole sana RIP Jackline na Mwenzie, ungeshare their numbers dont hold information as you have decide to speak up
  12. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Aliyekataliwa kusimamia timu Ligi ya Mabingwa kwa kukosa vyeti, leo anasimamia Timu ya Taifa kwenye AFCON

    Alisoma online akapata cheti December
  13. N-handsome

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

    Nafikiri inaenda kwa asilimia za mikoa as the primary level ya government. Sio issue
Back
Top Bottom