Recent content by Mzux

  1. M

    Nchi zilizoendelea nazo ziliendekeza uwekezaji kutoka nje

    Hili ni swali ambalo huwa nakaa najiuliza sana kila ninapoona juhudi za serikali kutafuta wageni na kuwahimiza kuwekeza kwenye kila sekta. Ninapokuja kwenye sekta ya kilimo ndipo najiuliza zaidi. Hivi serikali inashindwa kuweka mikakati ya kuwasaidia watu wake waweza kufanya kilimo kiasi cha...
  2. M

    Ukitaka kujiajiri elimu ya kidato cha nne inatosha, kusoma hadi chuo kikuu ni kupoteza muda

    Sasa mtu asome taaluma fulani then akajiajiri sijui kufungua duka, sijui kilimo sawa sawa tu na mtu wa darasa la saba. Elimu ya imekosa na mathara yake yatakuja pale nchi itakapoanza kukosa wataalamu wa fani fulani na kuendelea kutumia wa nje kama hali hii itaendendea maana watu wachache...
  3. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    ahsante kwa somo
  4. M

    Miaka 55 ya kushindwa, Miaka 4 ya mabadiliko? Ya kuwalipa wazee 20,000/ mwezi

    Inawezekana CCM isifae kupewa nchi swali ni nani tumpe nchi?
  5. M

    Nang'atuka kwani ualimu siyo baba yangu wala mama yangu

    miaka saba kazini akose pa kuanzia!
  6. M

    Ukioa mwanamke masikini, tambua kuwa umeoa familia nzima

    Kwa vile amesema kwao masikini bila shaka hata elimu hawana na kama hakuna elimu definitely kuna umasikini wa kifikra. Hivyo usiwachukie maana kama mtu hajitambui suluhisho ni kumsaidia ajitambue. Utafanya hivi kwa kuongea nae kwa uwazi na endapo ataweza kujitambua safi hapo umefanya msaada...
  7. M

    MJADALA: Kusoma Engineering Tanzania ni kujipunguzia siku za kuishi

    acha kuwachanganya watu na wewe kujichanganya. Hapa tunaongelea Uhandisi na wala sio usanifu na majengo. Hivi ni vitu viwili tofauti kwa mkitadha wa mada tajwa.
  8. M

    Hali ngumu ya maisha ya rafiki niliyesoma naye imenisononesha sana...

    binafsi sikuwahi kukubali kuwa tatizo ni chama. I always believed in indivualism and not a system but to this juncture no CCM in my way, let it go to hell
  9. M

    Kwa uongo huu unaosambaza Zitto Kabwe dhidi ya Rais, hakika inadhihirisha kuwa umetekwa na Mafisadi

    Tatizo la watu wengi ni uelewa mdogo pamoja na kuchukulia hoja kwa juu juu tu na kishabiki hivyo kuishia kutoelewa. Kama nitakumbuka vizuri Mh. Zitto alitumia maneno yafuatayo: NINASIKIA, KUNA TETESI. Kimsingi maneno hayo hayamaanishi kwamba alikuwa anatoa hitimisho kwamba hoja yake ilikuwa...
  10. M

    Hali ngumu ya maisha ya rafiki niliyesoma naye imenisononesha sana...

    Kama tutakumbuka vizuri kati ya mambo yaliyokuwa mahitaji ya watu wengi ni 1.Ajira kwa vijana 2.Maji Sijaona lolote likiguswa ukiachilia mbali miradi ya maji iliyoachwa ikiendelea awamu ya nne. Watu wanatoka mazingira magumu na wanasoma wakijua pa kuanzia pamepatikana. Kijana anasoma akiwa wa...
Back
Top Bottom