Recent content by Mzungu Pori

  1. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hapa na wewe umetulisha matango pori. Mji mkuu wa Pakistan ni Islamabad. Kabul ni mji mkuu wa Afghanstan
  2. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Sipendi tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila hodi pamoja na kunilazimisha kunyoa ndevu zote

    Inaonekana na wewe ni miongoni mwa nguruwe wa hapo home kwenu.
  3. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

    Tangaaa rahaaa jamani. Namkumbuka Salma mtoto wa Sahare kipindi hicho naishi Arusha.
  4. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wewe unafanya kazi AUMS Geita
  5. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Napataje connection ya kazi kwenye migodi ya Barrick

    Ndugu yangu vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo ya uendeshaji wa mitambo vimejikita katika mafumzo ya mitambo ya ujenzi na mitambo ya open cast mining kama vile excavator, wheel loader, dump trucks etc. Kwa hiyo mitambo yote ya underground mining kama scoop/bogger, IT, spray mech, Agitator...
  6. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuomba tendo la ndoa kwa wanawake ambao leo hii tunawajutia tukutane hapa

    Huyu si ajabu keshajifira mwenyewe
  7. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume wa kunioa

    Uzi bila picha yako ni kama ramli chonganishi
  8. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namtafuta NDIWELA MALENDEJA mara ya mwisho nilonana nae Mwanza Hotel. Kama uko humu njoo inbox pls. Pia namtafuta RUKIA BIRHANI alikuwa anaishi ADA ESTATE nyuma ya BEST BITE. Mara ya mwisho alikuja modini Bulyanhulu. Kama ukipata ujumbe huu njoo PM.
  9. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Jamaa hivi unajua maana ya SGR? Naona umekurupuka tu kama ngiri. Soma na elewa maana ya Standard Gauge Railway ndio utoe comment.
  10. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Mnyamwezi

    Kuku anakula mchele ili baadae nae aliwe na wali
  11. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Ndoa inaelekea kunishinda

    Simu ya mwanaume ni kama kitunguu ukiichunguza lazima utoke machozi achana nayo.
  12. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Wanawake wenye Miguu ya ngamia wamebarikiwa sana

    Kwema mkuu naomba unitumie camel toe kwa pm yangu please
  13. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Kuweka kioo chini ya watoto wa kike
  14. Mzungu Pori

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amenenepa mno

    Makalio makubwa yawe yamepangiliwa sio kalio kubwa halafu halina shape nzuri yaani lipo kama gunia la nazi.
Back
Top Bottom