Recent content by MZungu Jeuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gesi ya Mtwara bado ni kizungumkuti na mwiba mchungu, Inatoka au haitoki?

    mungu hutoa hukumu hapa hapa hapa duniani kwa mifano,eeeweeeee bibi kaza buti ili nahafidhina wajue....vanatumala
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gesi ya Mtwara bado ni kizungumkuti na mwiba mchungu, Inatoka au haitoki?

    Hakika mungu ana majalibu yako na hutoa hukumu kwa wakati,vanatumala
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunataka baraza la mawaziri 2015 lisiwe na masalia yeyote wa 2005/2010

    kwa ccm haitawezekana kamye bali ukawa chance hiyo wanayo na watatupeleka stage nyingine ya maendeleo na si hapa tulipo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa: Shime wapenda Amani na Maendeleo, tujitokeze kukipigia chama chetu CCM kura

    magamba yanapigwa chini mwaka huu,ushauri wako wapelekee wazee wenu wa lumumba na si vijana tunaojitambua
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Waziri Mkuu wa tatu kwenye awamu ya nne ya Kikwete?

    very sad
  6. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe amwangukia Zitto, Kamati yaundwa rasmi kuwakutanisha

    hakuna tatizo kama wataelewana,naamini zito hatakuwa na kiburi kama mwanzo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Escrow: Wabunge waomba muda waumbuane

    ccm ni janga ka kitaifa,hao wabunge wa ccm ni wapiga dili tu nao hawana lolote,wao kubwabwaja
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

    mtwara tumejipanga sana,na wanajua kuwa mtwara kwa sasa ni watu ambao hawadanganyiki,ww xubir mkutano wa kinana hapa mtwara utaona kama hawataitwa walimiu wote na wanafunzi mujAza mkutano kama walivyofanya kipindi vha mwenge
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

    kusini hasa mtwara ccm wasitegemee chochote na tupo tayar kwa lolote hapo mwakani hata kambi yote ya naliendele walilete watamalizwa tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa CHADEMA ametekwa

    siasa za ccm ndizo imeifikisha nchi ilipo mfano kila mwananchi anaona hakuna umuhimu wa kupiga kura kisa ccm wanaiba tu,kutokuwepo mabadiliko ya uchumi,kupigwa kwa wapinzani na rushwa nayo imekuwa kawida kwa kila sector sasa kixa imeifikisha nchi sehemu mbaya xana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro IPTL kuwatoa kafara Mawaziri

    pinda kiongozi dhaifuhaijawah tokea
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Matatizo yenu yameletwa na CCM

    Songa mbele kamanda wetu wa anga,hawa waannezi wa act hawana jipya.
Back
Top Bottom