Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

Tupo kazini charambe Nzasa Kingugi ni UKAWA. Wezi wa kura tunamalizana kituoni.
 
I can see point kubwa aliyoitoa Professor nikumalizana na wezi wa kura kituoni hapohapo. Nimeipenda sana hii na ni nzuri

Hiyo ndio point muhimu maana kupelekana mahakamani ndio sawa na kesi ya nyani ukampelekea ngedere.... Tutamalizana nao huko huko kwenye vituo vya kupigia kura tukiwakosa tutawafuata majumbani mwao
 
U

UKAWA au si UKAWA lakini safari hii, ccm umejichafua mno. Tatizo mlidhani bado tupo mwaka 47. Watu wameamka, watu wana hasira.
Mmechukua gesi ya Ntwara mkaenda gawana cha juu hata kabla haijafika darisalama! Ama kweli, ndo maana mkaweka majeshi kule kwamba mle wenyewe tuuuu. Jamani, Njomba, unachota hazina yetu kwa ntutu wa kifaru. Hakiyanani kusini mlijizika wenyewe tuu. Hakuna haja ya picha ya upinzani. CCM msidanganywe na Kinana, anawavutia watu kwa mchele wa maharage na malori ya mchanga kuwasomba kutoka mbali. Tatizo, hawarudishi, hii ndo inatia uchungu zaidi
 
Point iliyo nigusa hapo kwa Lipumba ni kumalizana na wezi wetu hapo hapo vituoni tena kama polisi ni wa kuua tu hivi kwanini tuendelee kuwaogopa Polisi mpaka sasa hasa kwa mambo ya msingi kama haya ya kula na kingine nikwamba vijana tuhimizane kila mahala kujiandikisha kwenye daftali la kupiga kula na siku ya kupiga kula tujitokeze pia, tena sikuhiyo watu hasa vijana tusiende makazini hadi tupate matokeo.
 
mimi na wasiwasi na ukawa itakapokuja swala la kusimamisha mgombea mmoja,mmoja naona watashindwana tu

mtangoja sana hilo litokee lakini halitatokea. Safari hii mmekamatwa vibaya na watu wasomi na wenye kujua wanachofanya.
 
kusini hasa mtwara ccm wasitegemee chochote na tupo tayar kwa lolote hapo mwakani hata kambi yote ya naliendele walilete watamalizwa tu
 
U

UKAWA au si UKAWA lakini safari hii, ccm umejichafua mno. Tatizo mlidhani bado tupo mwaka 47. Watu wameamka, watu wana hasira.
Mmechukua gesi ya Ntwara mkaenda gawana cha juu hata kabla haijafika darisalama! Ama kweli, ndo maana mkaweka majeshi kule kwamba mle wenyewe tuuuu. Jamani, Njomba, unachota hazina yetu kwa ntutu wa kifaru. Hakiyanani kusini mlijizika wenyewe tuu. Hakuna haja ya picha ya upinzani. CCM msidanganywe na Kinana, anawavutia watu kwa mchele wa maharage na malori ya mchanga kuwasomba kutoka mbali. Tatizo, hawarudishi, hii ndo inatia uchungu zaidi

mtwara tumejipanga sana,na wanajua kuwa mtwara kwa sasa ni watu ambao hawadanganyiki,ww xubir mkutano wa kinana hapa mtwara utaona kama hawataitwa walimiu wote na wanafunzi mujAza mkutano kama walivyofanya kipindi vha mwenge
 
Njomba, hilo nalo neno. Tusaidieni kuwaeleza kwamba HATUDANGANYIKIIII. Wawape hao watoto wali kwa maharage, na Kinana awape mchele kwa nyama ya tembo lakini waalim hao hao watampa NOOOO kuanzia Decemba 14.
 
Back
Top Bottom