Mleta mada mgumu kuelewa,CAG kasema wame-overpay unawashangaa Tanesco ku-overpay,wakati huohuo unamlaumu CAG kuonyesha overpayment.CAG kasoma terms za mkataba,bila kujua terms unakuja kutema povu.nikupe mf mdogo,tumekupaliana kulipana 5m kila mwezi kwa mwaka mmoja.muhasibu wako ananilipa 6m kila mwezi.sasa hiyo ni nini
Ina maana kama Mhasibu analipa kila mwezi 6m tofauti na ilivyo kwenye hadidu za rejea kwa muda wa miaka 10, GAG alikuwa hakagui mahesabu ya huyo Mhasibu kwa muda wote huo na kugundua kuwa analipa kinyume na makataba unavyoelekeza ?