Kiongozi wa CHADEMA ametekwa

Kiongozi wa CHADEMA ametekwa

sisi tushaamuka wewe kama bado umelala kivyako ndiyo maana ukawa tunawazarau sana kwasababu tunajitambua.

"Mushaamuka" kweli na ukawa "munawa-zarau" sana. Kazi ipo.! Kukuelimisha kwanza ujue kuandika na ku-pronounciate. Ndipo tukufundishe umuhimu wa kuvua magamba. Kazi sana kukuponya labda kwa miujiza.
 
Imefikia mahali na nyie washughulikieni , kwa kuanzia tafuteni hiyo hiace mchome moto.
Iringa inaonekana siyo mahali salama kwa chadema nikikumbuka hata utekaji wa Rose Kamili huko Kalenga.
 
Mkuu nawe unaamini maneno ya kitoto hii???!!
Kazi ya uhamasishaji kama hiyo mlango kwa malngo alikuwa anafanya peke yake? ?!!
Anachukuliwa say kwenye corridor hata kelele hapigi yaani kama kuku kalowana!!!
Walikuwa wangaoi na silaha gani hao watu??!!
Aliagizwa na nani kufanya hiyo kazi na walichukua tahadhari gani ya usalama maana angeweza kukutana na mtu asiyependa ushabiki wa kisiasa akaamua kumtandika makofi pia kumsingizia kuwa alimkuta ndani kwake ye akiwa katoka dukani!!!
 
siasa za ccm ndizo imeifikisha nchi ilipo mfano kila mwananchi anaona hakuna umuhimu wa kupiga kura kisa ccm wanaiba tu,kutokuwepo mabadiliko ya uchumi,kupigwa kwa wapinzani na rushwa nayo imekuwa kawida kwa kila sector sasa kixa imeifikisha nchi sehemu mbaya xana.
 
Mkuu nawe unaamini maneno ya kitoto hii???!!
Kazi ya uhamasishaji kama hiyo mlango kwa malngo alikuwa anafanya peke yake? ?!!
Anachukuliwa say kwenye corridor hata kelele hapigi yaani kama kuku kalowana!!!
Walikuwa wangaoi na silaha gani hao watu??!!
Aliagizwa na nani kufanya hiyo kazi na walichukua tahadhari gani ya usalama maana angeweza kukutana na mtu asiyependa ushabiki wa kisiasa akaamua kumtandika makofi pia kumsingizia kuwa alimkuta ndani kwake ye akiwa katoka dukani!!!

Kama wewe ni gamba huwezi kuwa safi mpaka ulivue hilo gamba lako.
 
Mkuu nawe unaamini maneno ya kitoto hii???!!
Kazi ya uhamasishaji kama hiyo mlango kwa malngo alikuwa anafanya peke yake? ?!!
Anachukuliwa say kwenye corridor hata kelele hapigi yaani kama kuku kalowana!!!
Walikuwa wangaoi na silaha gani hao watu??!!
Aliagizwa na nani kufanya hiyo kazi na walichukua tahadhari gani ya usalama maana angeweza kukutana na mtu asiyependa ushabiki wa kisiasa akaamua kumtandika makofi pia kumsingizia kuwa alimkuta ndani kwake ye akiwa katoka dukani!!!
Mkuu amini usiamini utekaji upo tena sana.
Natamani ningekujulisha zaidi , ila hapa siwezi.
 
Akili ku mkichwa kama wewe ni mwanafunzi wa chuo na upembuzi wako ndio huu hapo juu!!!
Kazi ipo!!!

Wewe ole kila siku mi nakukanya hii tabia yako yakudharau wanafunzi kwani wao hawatakiwi kutoa maoni, haya mazee ya ccm matahira kweli
 
Back
Top Bottom