Recent content by mzizi wa kale

  1. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Mbona wenzake wanaikubali show yangu?

    Dawa ya bibi imeona ni wewe tumejua mwenyewe
  2. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Wanywaji wa Soda hatarini

    Baba amekunywa mix soda na bia mpaka sasa miaka 60 yupo bombs sasa sijui sayansi hizi maana had na bidhaa ambayo ya kusimikwa haina madhara zote no makemiko tu tusidanganyane kesho watasema tuchemshe maji Kilimanjaro Nayo sumu
  3. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

    aibu hiiii jomoni nitawachimbia dawa
  4. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mange Kimambi kuomba msamaha na kurejea CCM!

    Mmmh kweli huo utabiri
  5. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia(CUF) ajivua uanachama na ubunge na kuhamia CCM

    Waje kwa wingi tu jahazi bado kubwa linauwezo wakubeba
  6. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bunge linasubiri nife ndio waje kwenye mazishi?

    Uwezi kulazimisha mtu /watu waje kukuona wasije wakaja wema na wabaya wakakutumbulia mijicho ukazidiwa tena tuyaache ugua Pole MH
  7. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Eti kwanini watu wanaoa na Kuolewa..?

    kuanzisha ukoo wa kizazi chenu we na mkeo hata baba yako asingeoa na kukupata we ukoo wake angeuanzishaje sasa hapi nawe unategana na wazazi sasa nawe unaanza kujenga NGOME yako ...upon hapo
  8. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Simuachi kwanza mpaka nionje pakoje
  9. mzizi wa kale

    JamiiForums Tanzania Wachina Wametuchoka Waafrika

    Huu ni uzalilishaji Wa rangi,maumbile,wao waje kwetu wakute bagamoyo tumeweka ngurue na sura zao au mbuzi sizani kama watafurai mwisho wanune au wakalalamike wameonew
Back
Top Bottom