Wenye siasa maji taka ni wanaotumia dola kukandamiza upinzani na democrasia,wanaonunua madiwani bei nafuu,wasiojua kuna kutofautiana kifikra,wanaotutenga kwa dini zetu makabila na kanda,wasiojua siasa sio uadui,wasiopenda watanzania wapate habari sahihi. Nao ni ficiemu.