Hotspot ya halotel kwenye iphone

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,380
8,075
wataalam line ya halotel haionyeshi hotspot setting kwenye iphone yangu hivyo nashindwa kutumia net kwenye pic kwa wireless wala cable, je nini kifanyike?
 
Settings za data na hotspot huwa zinadownloadiwa automatically kwenye simu yako. Kama unashindwa kuset hotspot jaribu kufanya hivi. nenda kwenye Settings>Cellular>Cellular Data Network halafu utaona sehemu ya Cellular Data na Personal Hotspot, kwenye personal hotspot jaza internet pale palipoandikwa APN. Nilijaribu hivyo mara moja kwenye Halotel ikakubali.
 
ikakubali kuconnect kwa pc?
 
mkuu we ni nyoko sikutukani bali nakusifia! kitu kimekubari ahsante sana make nimehangaika mno
 
Settings za data na hotspot huwa zinadownloadiwa automatically kwenye simu yako. Kama unashindwa kuset hotspot jaribu kufanya hivi. nenda kwenye Settings>Cellular>Cellular Data Network halafu utaona sehemu ya Cellular Data na Personal Hotspot, kwenye personal hotspot jaza internet pale palipoandikwa APN. Nilijaribu hivyo mara moja kwenye Halotel ikakubali.

Nashukuru pia mkuu,hii kitu imekuwa msaada kwangu pia.Ahsante sana!
 
Nimejaribu kufanya hivyo lkn imegoma natumia halotel inasema contact your network carrier
 
Settings za data na hotspot huwa zinadownloadiwa automatically kwenye simu yako. Kama unashindwa kuset hotspot jaribu kufanya hivi. nenda kwenye Settings>Cellular>Cellular Data Network halafu utaona sehemu ya Cellular Data na Personal Hotspot, kwenye personal hotspot jaza internet pale palipoandikwa APN. Nilijaribu hivyo mara moja kwenye Halotel ikakubali.

Thank you
 
Nimejaribu kufanya hivyo lkn imegoma natumia halotel inasema contact your network carrier

IMG_2677.JPG
 
Samahani naomba msaada pia kwenye Android Phone Nina Tecno spark 2 inazngua nayo
 
Back
Top Bottom