Ila naona hakuna aliyekupa jibu halisi woote wamecoment tu ila kuna apps kadhaa za kufanya hiyo kazi mosi kuna znazochwav kwa kutumia push locks ambaxo hizi ata mtu mwenye simu ya kitochi ukimpigia au ukimtext moja kwa moja unajua aliko nearby na mnara ambao signal zake znatokea piah kuna apps...
Nasikia katika ajira 13800 zilizosemwa na mh.raisi ktka kammpeni hazijatimia... Nikafanya uchunguzi kidogo kwa kuangalia zile pdf zipo 196 na kila moja iko na majina avrg 45 hivyo kufanya idadi ya waajiriwa wote kuwa 8820-- hadi 9 elfu
Pia kuna majina yaliyo appear kwa nara nyingi.
Hivyo kuna...
Ni kweli ila nmemua tu ku.... Tamiccm wamentia hasira tu watu wamepoteza wamejutumabkuhusu hii elimu alafu bdae serikali inaleta blaa blaa na maisha ya watu
Mwl Abdallah leonard shonde aibuka kidedea Kwa Kuorodheshwa Mara 3233,katika ajira Mpya Ni mwalimu wa kwanza kupendekezwa zaidi na Tamisemi Tangu Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmeinanga tu japo ni makosa ya mtu wa ms-exl
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.