Kubet ni kamari sawa na kamari nyingine, na ni dhambi kwa dini zote isipokuwa wahubiri wanaogopa kukemea kwa vile wataingilia maslahi ya watu. Ni uraibu fulani ukianza ni vigumu kuacha ingawa kuna waliojitambua na kuacha kabisa.
Biashara ya mabasi ni biashara ya msimu. Kipindi cha sikukuu, wiki end ndefu, msimu wa wanafunzi kutoka na kwenda shule ndio inakuwa nzuri. kwa hiyo matajiri wajanja hutumia fursa hizi.
Kitu kingine ni huduma nzuri na wafanyakazi wanaozingatia customer care. Lakini pia ni ku keep standard ya...
Mbona siku hizi gari linabadilishwa bodi toka old fashion kuwa new model? Garil inabadilishwa shape ya mbele na nyuma na zinawekwa taa za Prado toleo jipya.
Kuna wakati naona jamii imepoteza mwelekeo kuhusu nywele. Wanapoteza asili yao. Kwa mfano unakuta mtu mzima mwanamme amesuka Rasta, amesuka tu akijiona anapendeza na hajui hata asili ya msuko huo na kwanini au inaonesha utamaduni gani.
Wakati tunaendelea kuwasema wanawake bado ipo midume mizima...
Ufike Dodoma ulikute basi unalotaka kupanda lipo, unaweza kushtukia unakuja kusubiri kupanda basi uliloliacha DSM saa 12, wakati ulippondoka kwa hiyo SGR, sijui utakuwa umepunguza nini.
Paragraph ya kwanza napotezea. Paragraph ya pili na ya tatu uko sawa na juhudi zinaendelea. Paragraph ya mwisho ...ni sahihi hatuna madaktari bingwa wa figo, moyo nk?
Miaka ya sabini wahasibu na watu binafsi walikuwa wakiporwa fedha walipokuwa wakienda au kutoka benki. Na matukio mengine yalikuwa fake. Kwa wakati huo Sh.20,000 ilikuwa ni mishahara ya taasisi nzima au mauzo ya wiki na zaidi. kuona hivyo serikali ikatunga sheria hiyo kwamba mtu yeyote akiwa...
Wazungu wanakwenda likizo kwao kwa hiyo kazi hazitaendelea. Wafanyakazi wanatakiwa kuondoka site wakale sikukuu makwao na kama wamelipwa mishahara miwili basi ni sahihi mwajiri lazima akulipe hata kama uko likizo. NSSF zinalipwa kila mishahara inapolipwa hivyi hilo sio tatizo. anaetakiwa kudai...
Simba Vs Yanga.
Waislam wanaona Ukristo sio dini sahihi na Wakristo wanaona Waislam sio dini sahihi kila mmoja anataka mwingine aangamizwe kabisa. Kwa vile Wapalestine wengi ni Waislam na Waislam Duniani kote wanasapoti Palestine juu ya ardhi yao basi hawa Wakristo wanaisapoti Israel kwa chuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.