Huwezi kutoboa maisha kwa betting

Huwezi kutoboa maisha kwa betting

mwez huu uliopita
niliamua kujifunza rasmi kubett,japo nna viaidia kuhusu timu mbalimbali kwahiyo kwenye kujifunza haikunipa shida sana.maajabu yalipoanza kila nikiweka 1000,2000 zangu naweka odds kumi timu moja inanichania mkeka,narudia tena tena tena wapi,nimepoteza kama 30000 kwenye kubett,mi nilikulaga 7000 tuu.MPAKA SASA SINA HAMU NA NIMEACHA.
Hongera Bro Hakika umefata njia sahihi waache vichwa ngumu waendelee kuliwa mpaka Akili ziwakae sawa
 
Betting ni mchezo wa matajiri !

Betting ni just for funny, sio ajira !

Sasa wabongo wameigeukia wanaona ni ajira utapunwa mpaka makamasi
 
Kubet ni kamari sawa na kamari nyingine, na ni dhambi kwa dini zote isipokuwa wahubiri wanaogopa kukemea kwa vile wataingilia maslahi ya watu. Ni uraibu fulani ukianza ni vigumu kuacha ingawa kuna waliojitambua na kuacha kabisa.
 
We ambaye haubeti umenufaika na nini kutokana na kutobet kwako kunizidi Mimi ninaye bet naomba ujibu hili swali ?
😂😂😂 sipo kwenye mashindano Bro wala sipo hapa kuweka Mabango kwa vile nilivyonavyo
 
Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi",

Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi

Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio",
Lose ration ikiwa Ni kubwa kuliko Gain Ratio Unapoteza Muda wako,Unadumaza Akili yako na Kupoteza rasimali pesa yako",

Amka Kutoka Usingizini Betting Haitokutoa kwenye Umaskini,Haitokupa Maisha ya Ndoto zako Toka Magetoni Nenda kapambane mtaani unachokipata kiheshimu na fikilia namna ya kukiongeza".
Betting ni janga kwa Taifa. Ni sawa na uyanga na usimba.

NO REFORMS, NO ELECTION
#free Lissu#
 
Kama havunji sheria ya nchi wala kuingilia maslahi yako wala haina shida.
Shida unayo wewe kupangia watu wafanye unachokitaka wewe.
 
Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi",

Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi

Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio",
Lose ration ikiwa Ni kubwa kuliko Gain Ratio Unapoteza Muda wako,Unadumaza Akili yako na Kupoteza rasimali pesa yako",

Amka Kutoka Usingizini Betting Haitokutoa kwenye Umaskini,Haitokupa Maisha ya Ndoto zako Toka Magetoni Nenda kapambane mtaani unachokipata kiheshimu na fikilia namna ya kukiongeza".
Bet what you can afford to lose. Mtu una 500 au 1000 alafu unaiweka kwenye 1200 odds that means ni teams zaidi ya 40 hapo, unategemea hizo teams zote 40 zifall kwenye chaguzi zako? Ni ngumu kama ulivyosema though ndiomana ikaitwa probability na wapo wanaotusua. Cha msingi ni hiyo point ya mwisho kuwa ukiona ratio ya kupoteza ni kubwa kuliko kuwin potezea au punguza dau la kubetia.
 
Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi",

Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi

Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio",
Lose ration ikiwa Ni kubwa kuliko Gain Ratio Unapoteza Muda wako,Unadumaza Akili yako na Kupoteza rasimali pesa yako",

Amka Kutoka Usingizini Betting Haitokutoa kwenye Umaskini,Haitokupa Maisha ya Ndoto zako Toka Magetoni Nenda kapambane mtaani unachokipata kiheshimu na fikilia namna ya kukiongeza".
samahan hivi ww ni yule Hamza aliyerushiana risasi na polisi kule dsm ? umefufuka au?
 
Ni ukweli, usiopingika kwamba maisha yenyewe ni betting tosha. imagine unalima kwa malengo yako lakini, haufahamu pa kuuzia. imagine una bet, kwenye biashara nako unachezea mbavu. betting nzuri ni siasa, tu maana unajua kabisa unaenda kula pesa za uhakika.

kama kuna mtu ana bet kwa furaha zake tumpe kongole, ila pia kama ana bet ili ajinasue mkono uende kinywani pia apewe kongole, maana wengi wao hawajaamua kukaba.
 
Bet responsibly,Mimi ni mzee wa mikeka ya betpawa na dau langu huwa naweka sh 1 ikizidi sana sh 5 kwa kila mkeka,kuna siku niliweka sh. 2 mechi 14 zote nikaweka zisare(X) huwezi amini ilichana mechi moja tu tena kwa tofauti ya goli moja,nilikuwa napeleka kilio kwa muindi maana ningemla tsh milioni 74 kwa dau la sh 2.Huwa naweka dau ambalo sijutii hata nikiliwa,na wala situmii muda wangu mwingi kupangilia mikeka maana najua hii ni bahati nasibu sio kazi
 
Kuna watu hawajui betting haimalizi pesa hata kidgo kama unacheza kistaarabu, kuliko kubuta sigara za afu mbili au visungura bora ubet uwezi juwa ya mungu mengi
 
Back
Top Bottom