The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,066
- 2,739
- Thread starter
- #21
Mlete basi na mimi anionjeshe utamHebu nenda kavute bangi na wenzio uko huna hadhi ya kujadiliana vitu vya msingi na mimi
Mlete basi na mimi anionjeshe utamHebu nenda kavute bangi na wenzio uko huna hadhi ya kujadiliana vitu vya msingi na mimi
Hizo hela wangemwaga hapo kwa Mganda anaetengeneza za umeme ingekuwa big up sana. Bado mnabisha mchawi wa mwafirika ni mwafirika mwenyewe?𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜
Hatimaye zimewasili Dar es salaam
Scania Marcopolo Viale zinatumia gesi
Cc [VALERIAN BANDA]
Kwa ajili ya mradi wa mwendokasi
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂
#TanzaniaBuses #SafariBora #BusService #alltanzaniabuses #atbupdates #ATBsnapView attachment 3278051
Labda reliability na pia production capacity ni ndogoHizo hela wangemwaga hapo kwa Mganda anaetengeneza za umeme ingekuwa big up sana. Bado mnabisha mchawi wa mwafirika ni mwafirika mwenyewe?
Vipi Drago zako ulizo shauri zina hiyo vitu au wenge la pafu la bangi maana dragon ndio hizo zilizopo sasaiviLabda reliability na pia production capacity ni ndogo
Acha kufananisha golden dragon na utumbo wa Uganda pimbi weweVipi Drago zako ulizo shauri zina hiyo vitu au wenge la pafu la bangi maana dragon ndio hizo zilizopo sasaivi
Scania ni imara itadumu muda mrefu kuliko haya mengine ambaya ni kama disposable. Bora abiria wawe na nidhamu.Naona wangeleta golden dragon ya bei rahisi mengi kuliko haya yapo ghali