Recent content by mzee waukweli

  1. M

    JamiiForums Tanzania NEC wanajitekenya wenyewe na Polisi

    Tutasimama mita 100 kwa kutumia sheria iliyopo hatukurupuki wezi wakubwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA mbinu yao kubwa ni kujaza mafuriko kwenye mikutano

    Na nyie mbinu zenu ni kuzomewa na wananchi kila kuchwao poleni kazi mnayo mwk huu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Inaonekana wwe una utaaramu na mambo ya ajali labda ungetuambia imekuwaje na sijui swali lako unataka ujibiwe na nani nenda police kibaha utoe ushahidi utakuwa umesaidia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya kauli za wanaccm kwa mh. Lowassa

    Malipo ni hapa hapa duniani mungu yupo pamoja nasi malofa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bosi wa kampuni ya UDA, Robert Kisena kukamatwa

    Atakamatwa baba rizi akiondoka madarakani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Acha uongo na uchonganishi wwe huna haya mchanganishi mkubwa weka uthibitisho huna hoja kaakimia.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Tangia lini mkakimbilia mdahalo sherehe muandae wenyewe na wageni mmealika wenyewe na cm mmepanga kupokea za watu wenu nani ashiriki ujinga wenu tunatangaza sela kwa wananchi nyie endeleeni na uzuzu wenu wananchi wamejitambua na mdahalo sio lazima mbona jk alikubalika enzi zake na alikataa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali

    Na bado mpka mboga atachambuwa tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Samia: Serikali ya Dk. Magufuli itanunua meli tano

    Aliahidi jk kashindwa magufuli na mv dar es salaam mbovu bil 8 hatuna tena imani na hawa watu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Huna hoja nyamaza mbowe na salumu mwalimu wanatosha ulitaka wafanye kama mkwele na waende wote alafu kampeni atafanya nani ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) waionya Tanzania juu ya ufisadi wa Lowassa

    Acheni uongo kwani wao hawamjui muuwa tembo. lowassa na tembo wapi acheni ushabiki wa kinafiki kuhusu ujangili muulizeni jk .
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Geita: Ni zamu ya kanda ya ziwa kutoa rais

    Mara ipo ukanda gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuzidisha muda kwa Mara ya Pili leo

    Leo hadi 12:20.
Back
Top Bottom