hivi ni sheria inayowataka watu kukaa mita 100 au ni tume ndio inawataka watu wakae mita 100 na kama ni sheria tume au police wanatoa wapi mamlaka ya kuwakataza watu walioamua kusimama kwa amani ili kuangalia kila kinachotokea hatua yoyote ya kuwaondoa watu waliosimama mita mia moja kwa amani kinyume na sheria inavyotaka ni kuipoteza amani yetu na hili tume na police icc itawahusu baada ya uchaguzi hatuko tayari kwenda kinyume na sheria ya uchaguzi kama mnavyotaka nec na police
vyama vyote vilisaini mbele ya tume ukipiga kura hustahili kukaa mita mia miatano ni kuondoka eneo husika kwani vyama vyote vina mawakala kwenye vituo vya kupiga kura
Hapo penye mita 100 utakaposimama na kukusanyika ni kiwanja au eneo la baba yako au mama yako? kama
Ni eneo la watu ambalo wewe si mmiliki wala halimilikiwi na chama chako Kwenda kukaa eneo la mtu ni uvunjaji wa sheria.Polisi kuzuia mikusanyiko lengo ni kuzuia viashiria vyote vya uvunjaji sheria ikiwemo kwenda kujikusanya eneo la mtu bila ridhaa yake.
Ole wako mita mia hiyo uje kukusanyika eneo langu patachimbika.Nitawapiga nondo za vichwani liwalo na liwe vibaka wakubwa nyie.
Wewe ulinde kura hao mawakala wenu wa vyama walioko ndani ya chumba cha kupiga kura wanafanya kazi gani? Kama hamuwaamini shauri yenu.Lakini kukusanyika mita mia natoa onyo mapema.Msije kusanyika kwenye eneo langu.Na watu kibao wameshapeleka onyo kwa tume na polisi kuwa wahakikishe hao watu hawakusanyiki maeneo yao.
Nakuonya hizo mita 100 zaweza sababisha ukavunjwa miguu na polisi kama wenye eneo wataamua kuwapigia polisi waje wawaondoe eneo lao.Ukikusanyika eneo ukaona polisi wanakuja na mabomu ujue wenye maeneo yao wamewaambia polisi kuwa eneo lao limevamiwa na watu kinyume cha sheria.

Ila Sheria inatoa ruhusa kubaki umbali wa mita 100 baada ya kupiga kura!Sheria haitoi ruhusa mtu kubaki baada ya kupiga kura....hivyo amtakiwa kubaki..
Hapo penye mita 100 utakaposimama na kukusanyika ni kiwanja au eneo la baba yako au mama yako? kama
Ni eneo la watu ambalo wewe si mmiliki wala halimilikiwi na chama chako Kwenda kukaa eneo la mtu ni uvunjaji wa sheria.Polisi kuzuia mikusanyiko lengo ni kuzuia viashiria vyote vya uvunjaji sheria ikiwemo kwenda kujikusanya eneo la mtu bila ridhaa yake.
Ole wako mita mia hiyo uje kukusanyika eneo langu patachimbika.Nitawapiga nondo za vichwani liwalo na liwe vibaka wakubwa nyie.
Wewe ulinde kura hao mawakala wenu wa vyama walioko ndani ya chumba cha kupiga kura wanafanya kazi gani? Kama hamuwaamini shauri yenu.Lakini kukusanyika mita mia natoa onyo mapema.Msije kusanyika kwenye eneo langu.Na watu kibao wameshapeleka onyo kwa tume na polisi kuwa wahakikishe hao watu hawakusanyiki maeneo yao.
Nakuonya hizo mita 100 zaweza sababisha ukavunjwa miguu na polisi kama wenye eneo wataamua kuwapigia polisi waje wawaondoe eneo lao.Ukikusanyika eneo ukaona polisi wanakuja na mabomu ujue wenye maeneo yao wamewaambia polisi kuwa eneo lao limevamiwa na watu kinyume cha sheria.
Huu nao ni ujinga ukae mita 100 sasa useme nalinda? Wana siasa hapo wanataka kutushindisha kwenye jua na sisi hapo na sisi tuwambie waje tushinde nao ndoo tutaamini tuko nao Kulinda.sio wajifiche
Hivi ni sheria inayowataka watu kukaa mita 100 au ni tume ndio inawataka watu wakae mita 100 na kama ni sheria tume au police wanatoa wapi mamlaka ya kuwakataza watu walioamua kusimama kwa amani ili kuangalia kila kinachotokea hatua yoyote ya kuwaondoa watu waliosimama mita mia moja kwa amani kinyume na sheria inavyotaka ni kuipoteza amani yetu na hili tume na police ICC itawahusu baada ya uchaguzi hatuko tayari kwenda kinyume na sheria ya uchaguzi kama mnavyotaka nec na police
Sheria zipo wazi wewe jaribu kukesha kituoni uone sheria za nchi zinavyochukuwa mkongo wake na uone kama ICC unayoutaja watakusaidia.Hivi ni sheria inayowataka watu kukaa mita 100 au ni tume ndio inawataka watu wakae mita 100 na kama ni sheria tume au police wanatoa wapi mamlaka ya kuwakataza watu walioamua kusimama kwa amani ili kuangalia kila kinachotokea hatua yoyote ya kuwaondoa watu waliosimama mita mia moja kwa amani kinyume na sheria inavyotaka ni kuipoteza amani yetu na hili tume na police ICC itawahusu baada ya uchaguzi hatuko tayari kwenda kinyume na sheria ya uchaguzi kama mnavyotaka nec na police
Hivi ni sheria inayowataka watu kukaa mita 100 au ni tume ndio inawataka watu wakae mita 100 na kama ni sheria tume au police wanatoa wapi mamlaka ya kuwakataza watu walioamua kusimama kwa amani ili kuangalia kila kinachotokea hatua yoyote ya kuwaondoa watu waliosimama mita mia moja kwa amani kinyume na sheria inavyotaka ni kuipoteza amani yetu na hili tume na police ICC itawahusu baada ya uchaguzi hatuko tayari kwenda kinyume na sheria ya uchaguzi kama mnavyotaka nec na police
hakuna sheria ya uchaguzi inayo ruhusu kubaki baada ya uchaguziila sheria inatoa ruhusa kubaki umbali wa mita 100 baada ya kupiga kura!
Ukawa Bwana,eti Tunakaa Mita 100 Kulinda Kura Zetu,kwani Kura Zinapigiwa Nje?Kwani Hamna Mawakala?Kwan Mawakala Wenu Hamuwaamini?Mnaweza Kutujuza Mkikaa Mita 100 Mtakuwa Mnazuia Wizi Wa Aina Gani?Unaofanyika Vipi Huku Nyie Mkiwa Nje Ya Vyumba?
mkuu umeuluza maswali mazuri sana aisee sasa kama kura zinapigwa na kuhesabiwa ndani why tume iogope na kuwatisha watu??kuna rafu nyingi huwa zinatokea tutakaa kulinda kura zetu maana hawa ccm hawaaminiki tena.
mm nishakuwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa MWENGE urirudiwa baada ya uchuguzi wa kwanza kuvurugwa na ccm baada ya kuona maji ya shingo.
lakini watu tulikomaa uliporudiwa kwa kulinda kura zetu na ndani ya box tuliwashinda na mpaka mawakala wao na viongozi waliopo ndani walikubali lakini kwenywe kutangaza matokeo wakachakachua matokeo.ya ccm walio shindwa wakamtangazia chadema na ya ushindi ya chadema wakamtangazia ccm.