Recent content by Mzee wa Usafi

  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wapiga mabomu mkutano wa Lissu huko Mbinga

    Hii ndio miezi ya baadhi ya top manyota wana anza likizo za kustaafu, hivyo vijana wana tafuta vigezo vya kupandishwa vyeo. Maana ukiwa katili kwa wapinzani ni sifa kubwa sana hiyo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli futa Halmashauri za Wilaya zinafuja pesa na kurudisha nyuma maendeleo. Report ya CAG ya 2018-2019 inaonesha wazi hili

    Tatizo la Nchi yetu lipo kwenye mfumo wa uendeshaji wa Serikali. Huu mfumo tulio nao ni wa enzi ya Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere. Ulikuwa based on trust zaidi kuliko kuwa wa wazi ulio na check and balance. Pili, Serikali yetu imekuwa na upungufu wa Watendaji kwani kwa sasa ili uweze teuliwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Honestly, Hakimu Mkuu Simba amekuwa 'fair' sana kwa Mhe. Mbowe na wenzake

    So, you have accepted the magistrate to criminalise all campaigning process?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Kimsingi sekta ya madini kwa sasa imesimama kabisa hasa kwenye upande wa utafiti ambao una gharama kubwa ambazo mimi na wewe hatuwezi kuzibeba kwani bado tuna hangaikia kushiba kwanza. Ni ukweli usio pingika kuwa serikali kwa sasa ina kusanya maduhuri mengi kwenye sekta hii ila haina maana kuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Kwa sheria zetu wenyewe Mrahaba ni 6%, Inspection fee 1% na District development Levy ni 0.3% jumla ni 7.3% ambazo mtu unatakiwa kuzilipa kabla ya mzigo haujaenda kwenye soko la madini....yaani unazilipa kwenye Ellusion Plant ndio afisa madini anakupatia kibali cha kusafirisha kwenye kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Hoseah Ezekiel Kashimba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF

    Naomba kuweka kumbukumbu sawa.....James Kilaba ambaye ndo DG wa TCRA alifiwa na watoto wake wote kwenye ajali. Kabla ya hapo alishapoteza mke wake wa kwanza hivyo akao mke mwingine ambaye alipoteza watoto wake wawili kwenye hiyo ajali iliyo chukuwa pia maisha ya mtoto wake mkubwa ambaye aliachwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna nchi Afrika imewahi kumiliki ndege Aina ya Airbus 220-300?

    Air Tanzania Becomes First Airbus A220-300 Operator In Africa | Airways Magazine
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inakosa nguvu mlimani

    Kuna sababu nyingi kwa gari kukosa nguvu. Gari yako haina nguvu hata kwenye tambarare kwa kuwa unapo panda mlima nguvu nyingi ina hitajika ndo maana unahisi na kusikia haina nguvu Kwanza kabisa 1. angalia fuel pump yako kama ni nzuri 2. angalia spark plug zako 3. angalia sparl plug cables kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya bilionea Msuya: Niliteswa mpaka nikahasiwa na Polisi na kuamua kumfukuza mke wangu

    Uko sahihi kabisa Mtanzania mwenzangu. Kwenye suala la upelelezi Jeshi letu la Polisi bado lipo nyuma kabisa. Nimekuwa mfuatiliaji na muangaliaji wa kipindi cha TV Crime Investigation kwa muda mrefu. Ukiona vile wenzetu wanavyo tumia ujuzi na maarifa kupata ushahidi kabla ya kufanya ukamataji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa 6.5m

    Mzee weka vipimo vya kiwanja basi. kina hati au offer?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yake ya kisiasa Mbowe amelala mahabusu

    Weka kumbukumbu zako sawa......Kwenye varangati la Arusha pale Josephine alipopamba kurasa za mbele za magazeti na picha yake akitiririka damu, Mbowe alilala mahabusu ya Arusha mjini kabla ya kuhamishiwa Usa River.....
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bank of Tanzania has a RESERVE of $5 Billion.

    Gross official foreign reserves increased to USD 5,832.0 million at the end of January 2018 from USD 4,332.4 million at end of January 2017. The reserves were sufficient to cover 6.0 months ofprojected import of goods and services,excluding FDI financed projects. Gross foreign assets of banks...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Acacia wakubali yaishe kwa Magufuli, makinikia kuchenjuliwa hapa hapa Tanzania

    Utafiti uliofanyika ni kuchenjua dhahabu pekee . Maana yake wao wanahitaji dhahabu kwa sasa na wataweza kupata asilimia 85 ya dhahabu kwa kila tani moja watakayo chenjua,kumbuka hapa wanatumia cyanide na kuachana na silver na copper ambazo sasa zitakuwa kwenye tailings....hii ni hasara kwa nchi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inatafuta wawekezaji wa kuongeza thamani madini

    Hili tangazo lina rudiwa kwani kwa mara ya kwanza lilitolewa mwezi wa sita kama sijakosea. Tatizo ni jinsi ya kumpata mtu atakaye kubaliana na masharti yetu na sheria zetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Mjinga ni mtu asiye kuwa na ufahamu wala elimu ya kitu flani. Akielimishwa huwa sio mjinga tena. Huyo huitwa eliye elimika. Kwa kiingereza ni ignorant . Rejea wanasheria wana mwita mtu yeyote ambaye hajasoma sheria ni Ignorant. Mpumbavu anaweza kuwa ni mjinga au aliye elimika na hataki kufungua...
Back
Top Bottom