Bongo ni vurugu mechi..nchi imekuwa kama haina rais wala uongozi imara kila mtu anafanya na anasema linalomvimbisha tumbo lake na familia yake. CCM WANATUTUMBUKIZA KATIKA KABURI HIVI HIVI TUNAJIONA.
Mkuu madai ya wana mtwara si kuwa GESI NI YAO TU - USIPOTOSHE KAMA HUJUI ULIZA. Wanachotaka wana mtwara ni kuwa MTWARA IWE CENTRE YA GESI...mazao ya gesi ( Umeme etc) yatumike nchi nzima..na si kusafirisha gesi ghafi. KUULIZA SI UJINGA
KINANA should be in prison sasaivi. Tatizo ni kuwa jela imejengwa maalum kuingiza Maskini na wapizani wa CCM. 2015 wapinzani wakichukua nchi wanatakiwa waifutie usajili CCM na kuwapandisha mahakamani wahusika wote wa wizi/ufisadi/uhujumu uchumi/dhuluma/uonevu/matumizi mabaya ya madaraka etc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.