Recent content by MZEE WA ROCK

  1. MZEE WA ROCK

    Wakurya wanapowakasirisha mababu kwa kudharau NYUMBA NTOBO

    Yani hakuna kitu sikipendi kama kudandia vitu husivyo vijua. Jamaa ni lena kabisa kwa kabila la kikurya.
  2. MZEE WA ROCK

    Kuhesabu kura 2500 za wajumbe wa CCM kukesha!!

    Hapo ndio utajua maccm yalivyo hovyo. ILA eddo alisema jamaa hana maamuzi magumu ameamua kumuonesha ugumu wa maamizi yake
  3. MZEE WA ROCK

    Hivi wanatongozaje kwa kutumia pesa?

    no money no love nyie watu
  4. MZEE WA ROCK

    Wananchi wa Migombani DSM wamwapisha Mwenyekiti wao aliyeshinda kwa tiketi ya CHADEMA

    sioni sababu ya kuficha id yangu humu ndani, mm ndiye mshindi wa migombani kata ya segerea, wahuni wa ccm walikua wanatusumbua kila siku kuna tatizo tatizo mungu amesimama upande wetu wananchi. naakika mapambano bado yanaendelea ya jana ni manyunyu tu wasubiri mvua yenyewe inakaribia. cc@mwita...
  5. MZEE WA ROCK

    Mbona Huwa Vigumu Kwa Mwanamume Kusifu Mwanamume Mwenzake Kama Ni Handsome?

    ww mwanamke umelewa somo au homoni zimekuzidi?
  6. MZEE WA ROCK

    Mjumbe bunge la Katiba alia machozi kusisitiza hakupiga kura ya 'ndiyo'

    Ni nani huyo? Au intarahame wameanza kukimbia vivuli vyao? Waliona dodoma ni mbinguni hawatarudi. Kuna mpuuzi mwingine yule wa wasanii kweri wasanii wa tz mapunguani kwero km yule ndiye rais wao
  7. MZEE WA ROCK

    Madiwani wa CHADEMA mkoani Shinyanga walioasi na kujiunga na CCM waomba kurudi CDM

    Wachunguzwe sana hao madiwani wasiendeleze usaliti ndani ya chama chetu pendwa
  8. MZEE WA ROCK

    Vaislay unahtajika

    huyu huyu au nipo chit chart
  9. MZEE WA ROCK

    Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    KAZI HIYO KAWATUMA @nape au mwigulu? kwani wao tyr wamesema wameshindwa kuifuta hata kwa mabomu?
  10. MZEE WA ROCK

    Mhe Gaudence Kayombo Mbunge wa Mbinga unashiriki uongo huu wa CCM huku umeokoka?

    kwani huko na si jirani na yule mbunge mpenzi wake LULU
  11. MZEE WA ROCK

    Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

    Nyie moods acheni hizo, mnafuta coment yangu kisa nimemsema Zitto ni ex wa shonza ? Nyie kama vipi nipeni tu ban nijue nimefanya kosa lkn kwa utamaduni wa kipuuzi hivi hii sio tena ya kusema kwa uwazi bali ni sehemu ya kumpamba zzk
  12. MZEE WA ROCK

    Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

    Yaani kweri shonza ndio wa kuitakia mema chadema?
  13. MZEE WA ROCK

    UVCCM Arusha ngoma mzito

    wataangaika sana maintarahamwe
  14. MZEE WA ROCK

    Toka umejiunga JF umewahi kupigwa ban mara ngapi?

    YAANI UNATAKA Ban CC? twende siasani tuone km utamaliza wiki ujaenda ban grocel. baba @v alikuja wiki 2 tu akapumzishwa mara 1. huku kuna machizi km faiza fox, Mamndenyi, MSALANI Ritz Lizabon MwanaDiwani a.k.a @nape na vichaa wenzao kibao
Back
Top Bottom