Recent content by Mzee wa Masaki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mgaya wa TUCTA aliwekwa mfukoni na JK, aulizwa nini kimemotekea?

    Kwa ilivyo sasa Mgaya anamng'oa huyu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Dar kuandamana kushinikiza bei ya umeme kushuka!

    Katika Mkutano wa TUCTA uliofanyika Msimbazi Center TUCTA wamewataka wanachama wao kujiandaa kugoma iwapo bei ya umeme haitakuwa imeshushwa kufikia Aprili Mwaka huu. Na TUCTA wametaka Serikali kusikiliza kilio cha wafanyakazi badala ya kuwazidishia makali ya maisha kila siku iendayo kwa Mungu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Avatar hii ya Avanti inatafsiri nini Siasa za Tanzania

    Wengine wanatafsiri eti katika siasa twapaswa kupendana na wapinzani wetu Wengine, twapaswa kuvumiliana, wengine twapaswa kuheshimiana, wegine kuaminiana, nk. Wewe unaisomaje picha hii katika kuihusisha na siasa zetu za TZ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    Yaani mishahara imeingia tar 7 January 2013 jioni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kunaweza kuwa na CHADEMA ASILI na CHADEMA MABADILIKO

    Imekaa vema sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    Issue sio kwamba mfanyakazi wa chini analipwa mshahara mdogo, lah! ni kucheleweshewa mshahara. Mbona Taasisi zingine za Serikali hata mishahara ikichelewa wanatumia fedha zao ambazo mishahara ikitoka hurudishwa. Iweje huyu mama yeye fedha zinazokuwepo atumie yeye tu kwa safari badala ya kuwalipa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    We uliyejibu hapa najua ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala ambaye mnalipana kinyemela na kuwaacha wafanyakazi wa chini wakinyanyasika. Jitambue acha unyonyaji!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    Mpaka sasa wafanyakazi wake hawajalipwa na Yeye kila mwezi ni lazima atumie pesa za Taasisi kwenda Ulaya. Wafanyakazi wamelalamika hadi kwa Waziri lakini Waziri kauchuna tu. Mtindo wa kulindwa na Waziri kunaifanya Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwa wakiwa na ndiyo maana kuna wkt kazi za utabiri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Hulali mdada! Au ndiyo mmemaliza kunanihii...?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi yetu kwa viongozi wetu wa CHADEMA, Mbowe sio kiongozi wa kutubadili

    Hata usemeje kuna ukweli Mbowe ni mchumia tumboni.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Habari ya Kusikitisha: Janeth Mbene na Double Tree Hotel wanaendeleza unyanyasaji

    Muda huu hapa Masaki, yule kijana ambaye niliwahi kutoa taarifa kuwa anataka kudhulumiwa haki yake amevamiwa tena na wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni na wameendelea kubomoa. Kijana huyu juzi J'pili alikamatwa akawekwa polisi lakini baada ya kujieleza jana akaachiwa bila kufunguliwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Open university acheni ubabaishaji

    Mmetoa tangazo kwamba mtatuletea majina ya watakaomaliza chuo na kuwepo kwenye mahafali tarehe 16 Oktoba 2012. Mbona mpaka leo hii majina hayajatoka? Mnategemea sisi tuliopo Kigoma tukipata majina hayo siku 5 kabla tutawezaje kuja kuhuddhuria? Mbona mnazidi kutunyanyasa, matokeo yetu yenyewe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

    Nimewawekea attachment hapo juu angalienei wenyewe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

    [attach]66927[/attach
Back
Top Bottom