Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

Mpaka sasa wafanyakazi wake hawajalipwa na Yeye kila mwezi ni lazima atumie pesa za Taasisi kwenda Ulaya. Wafanyakazi wamelalamika hadi kwa Waziri lakini Waziri kauchuna tu. Mtindo wa kulindwa na Waziri kunaifanya Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwa wakiwa na ndiyo maana kuna wkt kazi za utabiri zinafanyika ktk hali duni na kuleta matokeo mabaya kwa sababu ya watendaji bogus kulindwa na wanasiasa

Mtoa mada uwe na busara!!!! Boss huwa hasafiri na fungu la PE bali la other charges!!!! Kaifunze masuala ya budget!!!Na zaidi watumishi wengi wa taasisi za serikali mishahara ya Dec imechelewa sana!!! Hata ya miezi mitatu nyuma!!!! Peleka suala lako Hazina watakupa majibu!!! Kuna watumishi TMA najua hawamtaki huyu boss maaa anawabana!!!!Ufisadi tupa kule!!!! Hadi wengine mnajaribu ........Hamtamuweza!!!!! Mungu wake ni mkubwa kuliko wenu!!!! Take it easy!!!!! TISS mulikeni TMA na watumishi wote wanaosumbua management tupa nje kabisa. Kiongozi wa Taasisi ni public face!!!! Nani kakuambia kazi yake ni kukaa ofisini tu??? Kasome upande cheo.
 
Ikumbukwe TMA mikutano yake mingi ni ya kimataifa sana, sasa unataka amtuke messenger mkutanoni?? Acheni wivu??? Mbona hamsemi TCRA??? Yeye kila wakati anasafiri kwa kuwa pia mikutano mingi ni nje ya nchi??? Aisee Mkuu wa taasisi si mfanyakazi wa back au front office!!! Ni beyond that wakuu!!! He/she is a public face/image who thinks beyond the horizon!!! Unataka abaki ofisini halafu ni lini will open up!!!! globalization is beyond your myopic thinking!!
 
Well said mkuu, kwani TMA ina mradi gani wa kujihingizia PESA!! Na kwa kuwa ni Mwanamke basi watamzulia mambo chungu MZIMA, kuna baadhi ya Watanzania na akili zao timamu huwa hawapendi kabisa kufanya kazi chini ya akina MAMA.
Ndugu ufisado haujali gender
 
Mtoa mada uwe na busara!!!! Boss huwa hasafiri na fungu la PE bali la other charges!!!! Kaifunze masuala ya budget!!!Na zaidi watumishi wengi wa taasisi za serikali mishahara ya Dec imechelewa sana!!! Hata ya miezi mitatu nyuma!!!! Peleka suala lako Hazina watakupa majibu!!! Kuna watumishi TMA najua hawamtaki huyu boss maaa anawabana!!!!Ufisadi tupa kule!!!! Hadi wengine mnajaribu ........Hamtamuweza!!!!! Mungu wake ni mkubwa kuliko wenu!!!! Take it easy!!!!! TISS mulikeni TMA na watumishi wote wanaosumbua management tupa nje kabisa. Kiongozi wa Taasisi ni public face!!!! Nani kakuambia kazi yake ni kukaa ofisini tu??? Kasome upande cheo.

Ni kweli mkuu, umeonyesha uelewa mzuri wa mambo ya kiofisi. Huyu mtoa mada anadhihirisha kuwa ni mbumbumbu! Anasema watumie OC kulipa mishahara alafu warudishe baadae! Hajui kwamba mishahara inatoka hazina na inawekwa ktk akaunti za wafanyakazi? Hajui kwamba taasisi nyingi za Serikali hushindwa hata kujiendesha kwa kukosa OC kutoka serikalini? Na kwa ukweli mishahara ya mwezi Disemba 2013 imechelewa kwa taasisi nyingi tu za Serikali, sio TMA peke yao. Je, taasisi zote hizo wakuu wake waliwakopesha watumishi wao mishahara kutoka ktk fedha za uendeshaji (OC)?

Ni busara kukaa kimya kama huna cha kuongea, au akajipange upya atuletee uzushi mwingine... Mwenyewe umesema ukweli kwamba "tumbo lenye njaa si mshauri mzuri!"
 
Kazi kweli kweli!
 
hali ya hewa is beyond geographical borders, ni lazima asafiri. huwezi kuweka mipaka ya mawingu na pepo
 
Mpaka sasa wafanyakazi wake hawajalipwa na Yeye kila mwezi ni lazima atumie pesa za Taasisi kwenda Ulaya. Wafanyakazi wamelalamika hadi kwa Waziri lakini Waziri kauchuna tu. Mtindo wa kulindwa na Waziri kunaifanya Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwa wakiwa na ndiyo maana kuna wkt kazi za utabiri zinafanyika ktk hali duni na kuleta matokeo mabaya kwa sababu ya watendaji bogus kulindwa na wanasiasa

Binafsi nimefurahi sana kusoma hii threat, wafanyakazi wengi wa TMA ni wavivu, lazy hawana kabisa cooperation na wadau wengine kama vyombo vya habari...nilikuwa natafuta information fulani kuhusu mradi wa hali ya hewa unaofadhiliwa na WMO na TMA huko hombolo na tumbi tabora. Ofisa aliyekuwa na hiyo document alinizungusha wiki nzima for no reason at all...alikuwa na hiyo document kama pdf ni kiasi cha kunitumia tu lakini jitu lile linaitwa KANEMBA kwa sababu ya roho mbaya na uvivu lilinizungusha sana..kwa hiyo ni sahihi kabisa kwa migu..ru..wee hiyo kukosa mshahara....kijazi ni mchapa kazi hana tatizo
 
No research No data No right to speak......! Kajipange bob, labda hukufuata taratibu stahiki kijana mwenzangu ukahisi unazungushwa kumbe kila pahala kuna taratibu zake....
"..hiyo document kama pdf ni kiasi cha kunitumia..." acha kurahisisha mambo kijana fikiri kabla ya kubwatuka its a document na wala sio ujumbe tu wakawaida. JIPAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANGEEEEEEEEEEEEEEE
 
Wabongo kwa kutuhumiana hamjambo!
 
Moderator tafadhali futa hii kitu. Ni vizuri kuelewa system inavyofanya kazi. TMA mishahara inalipwa na serikali(hazina) kama zilivyo taasisi zote za serikali. Taasisi zinaletewa hela ya OC na development tu. na siyo mishahara ya wafanyakazi
 
yaelekea wewe unajua zaidi kinachoendelea. hebu tulia na utupe habari juu ya huyu kijazi kusafiri kwenda ulaya kila kukicha kwa kutumia kodi na rasilimalizetu ambazo anatakiwa azilinde kama mtu aliyepewa dhamana,

Ila kama TMA bado hawajalipwa mishahara mpaka leo, kuna tatizo kweli. Poleni wazee wa mvua za rasha rasha!!!!
 
Issue sio kwamba mfanyakazi wa chini analipwa mshahara mdogo, lah! ni kucheleweshewa mshahara. Mbona Taasisi zingine za Serikali hata mishahara ikichelewa wanatumia fedha zao ambazo mishahara ikitoka hurudishwa. Iweje huyu mama yeye fedha zinazokuwepo atumie yeye tu kwa safari badala ya kuwalipa wafanyakazi. Hata hivyo kusafiri kwake unakujua wewe? Hamna uhalali wowote, kila mwezi mtu anaenda Geneva, si ni bora ijulikane ofisi yake ipo huko!

Serikalini mishahara na OC ni mafungu tofauti ya fedha na kila moja lina bajeti yake iloidhinishwa na bunge kwa matumizi yake. Hivi vitu haviingiliani na hata ukaguzi wake wa hesabu ni tofauti kutegemea na jinsi zilivoidhinishwa na zilivotumika! Mishahara inalipwa na hazina moja kwa moja kwa watumishi na OC inatumwa kwenye account ya taasisi kwa ajili ya matumizi ya kawaida kama yalivoidhinishwa. Sasa mtu kusafiri kwenye majukumu yake ya kikazi serikalini hakuna uhusiano wa moja kwa moja na ulipaji wa mishahara. Ni mafungu mawili tofauti yasiyo na uhusiano wa moja kwa moja
 
No research No data No right to speak......! Kajipange bob, labda hukufuata taratibu stahiki kijana mwenzangu ukahisi unazungushwa kumbe kila pahala kuna taratibu zake....
"..hiyo document kama pdf ni kiasi cha kunitumia..." acha kurahisisha mambo kijana fikiri kabla ya kubwatuka its a document na wala sio ujumbe tu wakawaida. JIPAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANGEEEEEEEEEEEEEEE
Uzuri ni Kwamba nilivyoinua simu tu kumpigia Agnes(PhD)....lile Se__ ng'e liliamriwa maramoja linitumie tayari ilikuwa kwenye public domain no secret ni ujuha tu ulikuwa unalisumbua!
 
Back
Top Bottom