Open university acheni ubabaishaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Open university acheni ubabaishaji

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mzee wa Masaki, Oct 19, 2012.

 1. M

  Mzee wa Masaki Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmetoa tangazo kwamba mtatuletea majina ya watakaomaliza chuo na kuwepo kwenye mahafali tarehe 16 Oktoba 2012. Mbona mpaka leo hii majina hayajatoka? Mnategemea sisi tuliopo Kigoma tukipata majina hayo siku 5 kabla tutawezaje kuja kuhuddhuria? Mbona mnazidi kutunyanyasa, matokeo yetu yenyewe tunafuatilia mwaka nenda rudi na bado mnayatoa mpendavyo ninyi. Mtu assignments zake na test mnazo lakini hamziweki kwenye SARIS. Mkoje ninyi?
   
 2. I

  Israel masawe Senior Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  pole sana. Mimi ni 3rd year sijapata usumbufu wowote i thank God. Bt kama unajua uko complete bora upande kwa DRC Ili akufanyie mawasiliano na head office DSM. Nyie wa enzi za assignment malalamiko yapo mengi sana. Urs OUT Scholer.
   
Loading...