Recent content by Mzee wa Malengo

  1. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Mwenye neno lolote aniambie japo kupoza akili yangu

    Kwanza nikupe hongera kwa kutambua changamoto zako maana hapo umesolve nusu ya hizo changamoto Ila approach uliyotumia ndio umekosea, huwezi kutuma nusu ya boom lako nyumbani ukahisi unaweza kutatua hizo changamoto hapo ni kuendelea kujiingiza zaidi kwenye lindi la umasikini Kama umeweza kama...
  2. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Uzi mzuri kabisa huu Mm naulizia pia kama naweza pata eneo kwaajili ya shamba kuanzia hekari 10 nakuendelea katika sehemu hizi 1. Iringa Kati ya mafinga na ipogoro Kati ya ipogolo mpaka ilula 2. Pwani Njia ya dar Kati ya Kibaha mpaka chalinze Kati ya Chalinze mpaka msata Kati ya chalinze na...
  3. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji business partners biashara ya dhahabu

    Shukran sana ndugu katika hili ila naomba nisikukubalie kwa sasa kutokana na majukumu yangu binafsi ambayo yananifanya nisiweze kukupa ushirikiano timilifu. Ila muhimu pata muda zaidi ya kwenda kuijua biashara ya madini unayotaka kuifanya na eneo lipi litakufaa hii ndio itakuwa bora zaidi
  4. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji business partners biashara ya dhahabu

    Hongera sana kwa hili unaloliwaza, kwanza unatakiwa kutambua biashara ya dhahabu au madini sio kama nyanya au nafaka Kwasababu 1. Unahitaji dealer license ya kukuwezesha kununua dhahabu na kusafirisha Ambayo gharama ya leseni ni tsh 10M kwa mwaka 2. Unahitajika kuwa na ofisini kwenye masoko...
  5. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kunusurika kifo? Tuelezane ilivyokuwa, kama njia ya kumshukuru Mungu

    Ngoja nieleze na mm kisa kidogo hapa Miaka sio mingi sana (2015+) Baada ya kumaliza chuo hapa dsm nikapata ka intern hapa mjini maeneo ya mikocheni karibu na warioba. Sasa nilikuwa naishi Ubungo mawasiliano pale na hivyo nilikuwa napanda Balaji za pale mwenge kwenda mikocheni. Siku moja mzee...
  6. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    Itasaidia kuhoji, wapi mradi umefikia na kipi kinakwamisha
  7. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    jijini Dodoma maendeleo ya Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato Ujenzi ulipofikia.
  8. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    Moja ya mitambo mipya ya kushusha na kupakia makasha ukiwa katika hatua za mwisho kufungwa katika Bandari ya mtwara utakaokuwa na uwezo wa kuhudumia makasha 35 Kwa saa, mradi huo unatarajiwa kukamilika na kuanza kazi mwishoni mwa mwezi march 2023.
  9. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    Ujenzi wa Uganda wa ndege Iringa pamoja na Jengo la kuongozea ndege.
  10. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    Mradi wa mwendokasi, barabara ya kwenda Mbagala kukamilika March 2024.
  11. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    Kichwa kinajieleza, hapa ningependelea tuweke video, picha na hata maelezo yanayohusu miradi inayotekelezwa na kila hatua iliyofikia ili kujuzana wapi tumetoka, wapi tupo na wapi tunaelekea. Kama ambavyo tunafanya kwenye ile thread ya Nairobi vs Dar es salaam. Naamini kuna watanzania wengi...
  12. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mmewezaje? Kijana mdogo miaka 30 ana maisha mazuri sana

    Sijalazimisha ibada, hiyo anaweza toa kama msaada kituo cha watoto yatima, hospitali, kuona wafungwa, kuwalipia ada wenye changamoto n.k Kwangu mm naamini zaidi mkono utoao ndio upokeao sio lazima upeleke kanisani
  13. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mmewezaje? Kijana mdogo miaka 30 ana maisha mazuri sana

    Kwa kuongezea 1. Punguza matumizi yasiyo ya msingi Mfano pesa kiasi gani unatumia kwa mwezi kwenye bando, starehe, mavazi, chakula, na matumizi ambayo Hayao kwenye mipango yako 2. Ongeza vyanzo vya mapato kwa kuongeza uwekezaji, kuwa na mipango ya muda mrefu. 3. Mwombe Mungu, kuwa mtoaji, saidia...
  14. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mmewezaje? Kijana mdogo miaka 30 ana maisha mazuri sana

    Hebu nikusogezeee hii,
  15. Mzee wa Malengo

    JamiiForums Tanzania Nini dira ya Watanzania kwenye Kilimo na Ufugaji?

    Leo nimekaa na kutafakari sana kuhusiana na suala hili hasa ikichangiwa na baadhi ya video na clip nilizowahi kuona huko nyuma 1. Misri wameanzisha miradi ya kilimo cha umwagiliaji kwenye majangwa yao hivyo wanatarajia mwaka 2025 kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa ngano duniani 2...
Back
Top Bottom