Eee Mungu watumie wakatholiki kuikomboa Tanganyika, waraka wa Kanisa umegusa sii tu Bandari, Bali madini, Loliondo, Bunge, Mahakama.
Haijawahi tokea.
Kwa mara ya kwanza kanisa la Tanzania limetikisa mihimili yote mitatu,
Ukombozi wetu upo karibu,
Waumini wa kilutheri ambao wanakubaliana na...