Tuwape pongezi polisi kwa kuzuia nia ovu kwa kuwaweka sehemu salama wahusika!

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,191
16,204
Wengi wanaogopa kuongea ukweli lakini kiuhalisia jeshi la polisi limefanya kazi yake bila upendeleo kwa kuzuia viashiria vya uvunjifu wa amani na kuleta machafuko nchini ikibidi watu hao wakae kwenye mikono salama kwa kuwa wengine wao ni wazoefu wa kuishi kwenye kabati wanaona sifa wasipofinywa.

Kifupi jeshi la polisi linasimamia amani ya nchi kwa ukamilifu endeleeni hivyo hivyo uhuru wa maoni na mikutano wameruhusiwa ila sasa wanataka kuingia na viatu msikitini. Tena waminywe mpaka waseme nani aliye nyuma yao.

Tena si hao tu bado listi yao haijaisha!
 
Kwa haraka haraka, ulipozaliwa hukunyonya maziwa ya mama, alafu ulilishwa makande, matokeo yake ukadumaa, pole sana
 
Wengi wanaogopa kuongea ukweli lakini kiuhalisia jeshi la polisi limefanya kazi yake bila upendeleo kwa kuzuia viashiria vya uvunjifu wa amani na kuleta machafuko nchini ikibidi watu hao wakae kwenye mikono salama kwa kuwa wengine wao ni wazoefu wa kuishi kwenye kabati wanaona sifa wasipofinywa.

Kifupi jeshi la polisi linasimamia amani ya nchi kwa ukamilifu endeleeni hivyo hivyo uhuru wa maoni na mikutano wameruhusiwa ila sasa wanataka kuingia na viatu msikitini. Tena waminywe mpaka waseme nani aliye nyuma yao.

Tena si hao tu bado listi yao haijaisha!
SAsa kipara chako kimeanza kuwa kikukuu.

Kaking'alishe tena.

Badala ya kuitaka Serikali iboreshe mkataba wewe unawapongeza Polisi ili CCM na Serikali ziendelee na ule mkataba?
 
mentle retardation imesha kukula
 
Huu ndio ukweli.
 
Wabanwe pia waliouza Mali za umma Kwa rushwa na kulitia taifa aibu na hasara kubwa.

Magufuli Alibana uhuru Wa Wachache lakini alisimamia uhuru na heshima ya Taifa Kwa kuwabana na kuwashughulikia Wezi .
Kwa Sasa Wezi ndio wanalindwa Kwa manufaa yao Binafsi .

Uzalendo utapotea kabisa mana Wezi ndio Wana nguvu ya pesa na wanatumia nguvu kubwa kuwashughulikia wale wanaopinga Wizi.
Siku ZOTE polisi wakisimama na Wahalifu basi uhalifu hauishi na Wahalifu WANAPATA nguvu dhidi ya watu wema.

Ni kweli kabisa Suala la DPW limekuja na rushwa ndio Maana limelugawa taifa .

Na waliokula rushwa Ili wapiganie maslahi ya wageni Ili Hali wakijua wazi kuwa nchi hii Haina uongozi wenye uwezo Wa kuwabana Wezi na pia kushinda kwenye mahakama za kimataifa .
Kesi Zote tunashindwa kutokana na Lugha za kimataifa na uwezo Wa mawakili Wa Serikali .

Kizazi hiki kilichoko madarakani ni Kizazi cha Wizi Wa mtihani miaka 15 iliyopita .

Tuache Kizazi cha Watoto Wa St. Francis watakapohitimu vyuo vikuu . Hao Wana uwezo mkubwa Sawa na wake Wa Kule Dubai.

Tuwe Wazalendo na tuwapiganie wanyonge ndio wanaohitaji utawala Bora na imara.
Wawekezaji wapo Hata Kongo na Sudani na Kila penye Vita wapo .

Utawala dhaifu na Wa mabavu Kwa Maskini ni NEEMA Kwa wawekezaji Wezi wanaokimbilia Afrika ikiwemo Tanzania.

Hatuna
 
Wangezuia wasinge kimbilia mahakamani, wananchi wanahaki zote za kuiondoa Serikali yao madarakani muda wowote, wanapohisi viongozi wamelewa na wanaihujumu nchi
 
Wengi wanaogopa kuongea ukweli lakini kiuhalisia jeshi la polisi limefanya kazi yake bila upendeleo kwa kuzuia viashiria vya uvunjifu wa amani na kuleta machafuko nchini ikibidi watu hao wakae kwenye mikono salama kwa kuwa wengine wao ni wazoefu wa kuishi kwenye kabati wanaona sifa wasipofinywa.

Kifupi jeshi la polisi linasimamia amani ya nchi kwa ukamilifu endeleeni hivyo hivyo uhuru wa maoni na mikutano wameruhusiwa ila sasa wanataka kuingia na viatu msikitini. Tena waminywe mpaka waseme nani aliye nyuma yao.

Tena si hao tu bado listi yao haijaisha!
Hakuna machafuko nchini, acha DP world waanze kazi rasmi, sarakasi hizi zitaisha chaap!!
 
Wengi wanaogopa kuongea ukweli lakini kiuhalisia jeshi la polisi limefanya kazi yake bila upendeleo kwa kuzuia viashiria vya uvunjifu wa amani na kuleta machafuko nchini ikibidi watu hao wakae kwenye mikono salama kwa kuwa wengine wao ni wazoefu wa kuishi kwenye kabati wanaona sifa wasipofinywa.

Kifupi jeshi la polisi linasimamia amani ya nchi kwa ukamilifu endeleeni hivyo hivyo uhuru wa maoni na mikutano wameruhusiwa ila sasa wanataka kuingia na viatu msikitini. Tena waminywe mpaka waseme nani aliye nyuma yao.

Tena si hao tu bado listi yao haijaisha!
Wawasake na wengine si unaona Nchi imetulia tuliii 🔨🔨
 
SAsa kipara chako kimeanza kuwa kikukuu.

Kaking'alishe tena.

Badala ya kuitaka Serikali iboreshe mkataba wewe unawapongeza Polisi ili CCM na Serikali ziendelee na ule mkataba?
Kuna sehemu nimeandika mkataba ila pia mkataba Dp wapewe kwenye vipengele tata kurekebishwe ili nchi ipate mapato zaidi!
 
Wabanwe pia waliouza Mali za umma Kwa rushwa na kulitia taifa aibu na hasara kubwa.

Magufuli Alibana uhuru Wa Wachache lakini alisimamia uhuru na heshima ya Taifa Kwa kuwabana na kuwashughulikia Wezi .
Kwa Sasa Wezi ndio wanalindwa Kwa manufaa yao Binafsi .

Uzalendo utapotea kabisa mana Wezi ndio Wana nguvu ya pesa na wanatumia nguvu kubwa kuwashughulikia wale wanaopinga Wizi.
Siku ZOTE polisi wakisimama na Wahalifu basi uhalifu hauishi na Wahalifu WANAPATA nguvu dhidi ya watu wema.

Ni kweli kabisa Suala la DPW limekuja na rushwa ndio Maana limelugawa taifa .

Na waliokula rushwa Ili wapiganie maslahi ya wageni Ili Hali wakijua wazi kuwa nchi hii Haina uongozi wenye uwezo Wa kuwabana Wezi na pia kushinda kwenye mahakama za kimataifa .
Kesi Zote tunashindwa kutokana na Lugha za kimataifa na uwezo Wa mawakili Wa Serikali .

Kizazi hiki kilichoko madarakani ni Kizazi cha Wizi Wa mtihani miaka 15 iliyopita .

Tuache Kizazi cha Watoto Wa St. Francis watakapohitimu vyuo vikuu . Hao Wana uwezo mkubwa Sawa na wake Wa Kule Dubai.

Tuwe Wazalendo na tuwapiganie wanyonge ndio wanaohitaji utawala Bora na imara.
Wawekezaji wapo Hata Kongo na Sudani na Kila penye Vita wapo .

Utawala dhaifu na Wa mabavu Kwa Maskini ni NEEMA Kwa wawekezaji Wezi wanaokimbilia Afrika ikiwemo Tanzania.

Hatuna
Hapa ndipo udhaifu wetu ulipo tulipiga kelele na kushupaza shingo juu ya ufisadi mwisho wa siku kubwa la mafisadi papa 2015 akapandishwa mgongoni ili apelekwe ikulu kwa nyimbo na mapambio na deki kupigiwa!
 
Wengi wanaogopa kuongea ukweli lakini kiuhalisia jeshi la polisi limefanya kazi yake bila upendeleo kwa kuzuia viashiria vya uvunjifu wa amani na kuleta machafuko nchini ikibidi watu hao wakae kwenye mikono salama kwa kuwa wengine wao ni wazoefu wa kuishi kwenye kabati wanaona sifa wasipofinywa.

Kifupi jeshi la polisi linasimamia amani ya nchi kwa ukamilifu endeleeni hivyo hivyo uhuru wa maoni na mikutano wameruhusiwa ila sasa wanataka kuingia na viatu msikitini. Tena waminywe mpaka waseme nani aliye nyuma yao.

Tena si hao tu bado listi yao haijaisha!
Haya wahi mgawo kwa mama au kitenge! "mtoto wa mama"
 
Back
Top Bottom