Poleni majirani zangu sass nani akamatwe mwenye mti kutokana na kusababisha maafa?????? Majirani tukija kuwafariji mtatupokea au ndiyo mtatubagua ?????? Poleni kwa misiba yote.
Huyo ni Rais na bado ANC haijasema Mtukufu Rais Zuma hawamtambui wewe huku unashakia nini wakati kibanzi kilichopo machoni mwako hujakiondoa??? Mbona huko wako safi na wanaendelea kujenga uchumi wao hadi wanamtuma Rais wao aje kuona fursa za uwekezeji mnaacha kuzitumia....tuache kushabikia...
Wenzio tunabeba majembe kwenda mashambani wewe unabeba mwavuli utalima ukiwa umejifunika mwavuli miavuli ni yenu wa mijini!!!!!!sasa huku tunafurahia hatuingii gharama jani la mgomba kwetu ni mwavuli je karatasi au mafaili ambayo hajatumika si mnayatumia kujinga na mvua nywele bandia hazipatwi...
Huku kuvunjwa hadharani kwa Katiba viongozi walioapa kuilinda na kuitetea ni jambo la kusikitisha mno mno tunaelekea wapi Wananchi??????Haniingii akilini hata kidogo sasa itakuwa ni kubaguana kwenye dini na makabila mwishowe matokeo ni fujo, je itasemwa ni mataifa ya Magharibi au nan...
Tanganyika Law Society mpo kwa ajili ya kuona Katiba na Sheria za Tanzania Bara hazivunjwi hivyo simamieni wajibu wenu wa Kitaaluma na Wananchi wa Tanzania Bara watafurahia wajibu wenu.
Hayo ndiyo maisha ya binadamu la kushangaza nini?????Tuzungumze tuandike mambo ya msingi wadau wakisoma wakune vichwa na kufikiri na kubuni kwa ustawi wa JamiiF.
Mh. Tundu Lisu(Mb) na Rais wa Tanganyika Law Society, kwanini Sheria za Forodha hazikutumika pia ni vema Wananchi wajulishwe kukamatwa kwa Bw. Ramadhan Mussa Hamisi Ukwaju alishayatoa hayo magari au bado yalikuwa mkononi mwa TRA- Forodha kama yalikuwa bado mkononi mwa Forodha kulikuwa hakuna...
Mimi sioni kwanini ahojiwe si alikuwa anatekeleza maagizo ya Kamanda wake na Kamanda alielekeza maagizo kutoka Ngazi ya Juu yake.....hayo mahojiano ni ya nini..hata Nape angepigwa risasi na kufa haingekuwa issue ila yangendelea mambo kama kawaida WanaJamii Forum rudi nyuma na mtafakari Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.