modavid
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 707
- 634
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ukweli ndio huo stamp ya TRA na muhuri wa mahakamahilo ni kosa ndio,either awe na kadi original au certified copy of the origin tena iwe na stamp ya TRA
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ukweli ndio huo stamp ya TRA na muhuri wa mahakamahilo ni kosa ndio,either awe na kadi original au certified copy of the origin tena iwe na stamp ya TRA
Hiyo mahakama ingekuwa ya Kisukuma labda! Yaani kadi tu unanyang'anywa gari? Tena Kadi yenyewe ina jina lako? Hiyo isingewezekana lazima yule mwizi angekimbia tu!Abiria mmoja akachukua card original na kusepa nayo. Wakati jamaa anashtuka kwenda kutoa ripoti, akakutana na mwizi wake akiandikisha taarifa ya kuibiwa gari. Ilikua ponapona ya jamaa maana aliemtetea ni kamishna wa TRA aliyempigia muhuri. Iwapo angeskua hana ile certified true copy, ilikua inakula kwake
Acha kutunga uwongo hasa hapo alipomkuta jamaa anaandikisha polis umedanganya[emoji3]Certified copy ina umuhimu incase ikitokea shida itakayokulazimu kuonesha umiliki halali wa chombo chako. Kuna rafiki yngu, alipenda sana kutembea na card original. Akashauriwa kutoa copy na abaki nayo, original atunze. Mwanzo alikua mbishi ila ilitokea kama bahati. Siku aliyoenda kutoa copy na kuipeleka ikapigwa stamp ya TRA wakati anarudi nyumbani, njiani alipita mahali akapaki. Ilikua gari ya abiria. Abiria mmoja akachukua card original na kusepa nayo. Wakati jamaa anashtuka kwenda kutoa ripoti, akakutana na mwizi wake akiandikisha taarifa ya kuibiwa gari. Ilikua ponapona ya jamaa maana aliemtetea ni kamishna wa TRA aliyempigia muhuri. Iwapo angeskua hana ile certified true copy, ilikua inakula kwake
Indio ni sahihi kulipa maana kila copy ili iwe sahihi lazima iwe satisfied
Unasema?Indio ni sahihi kulipa maana kila copy ili iwe sahihi lazima iwe satisfied
Notification fine 80,000/-??!!??Kuna mmoja kosa hilo hilo akarambwa 80,000 juzi, hizi fine hazieleweki