Recent content by mzee wa busara

  1. mzee wa busara

    Dodoma: Mbunge wa Viti Maalum ashauri Uwanja wa Ndege wa Mbeya uitwe Tulia Ackson

    Mh Mbunge yupo sahihi kabisa,ni kweli uwanja wa mkoa wa Mbeya kuitwa Songwe Airport unaleta mkanganyiko usio na ulazima, kimsingi uwanja haupaswi kuitwa jina la mkoa mwingine, ni either uitwe jina la mkoa husika uwanja ulipo(Mbeya Int Airport) au jina lingine lolote kama majina ya viongozi...
  2. mzee wa busara

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Super Feo anatisha Nyanda ya juu kusini ipi hiyo tena? kule basi linalopendwa na kugombaniwa kwa sasa si SAULI pekeee Sent from my SM-C7010 using JamiiForums mobile app
  3. mzee wa busara

    Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

    Mimi nimetembea karibia mikoa yote ya Tz, Wakinga Kwanza ni makosa kufananisha Wachaga(Muunganiko wa kabila la Wamarangu,Warombo,Wamachame,Wakibosho nk) na Wakinga,Unawezaje kufananisha Muunganiko wa makabila na kabila moja tu? nimekaa maeneo mengi ya Uchagani lile sio kabila moja bali ni...
  4. mzee wa busara

    Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Kuja Tz sio lazima upitie Kenya au South Africa, unaweza kupitia Ethiopia,Rwanda,Zambia,Egypt,UAE,Qatar, Uholanzi,Uturuki,Msumbiji nk,na kwa taarifa yako abiria wengi zaidi waokuja Tanzania kutokea sehemu yeyote ya dunia hii wanakuja na Ethiopian airline kupitia Addis Ababa.
  5. mzee wa busara

    GE2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

    Nani kakudanganya kwamba Idadi ya Wasafwa pale mjini ni kubwa kuliko Wanyakyusa?,Jimbo la Mbeya mjini limekuwa likiongozwa na wabunge wanyakyusa kabla na pia baada ya ujio wa vyama vingi mfano Mh Mwamfupe,Mh Mwaiseje nk, Then ndipo wakaja Mpesya na sasa Mh Sugu ambao ni makabila tofauti na...
  6. mzee wa busara

    Zahera Mwinyi awafanya TP Mazembe washukie Uwanja wa ndege wa Mbeya badala ya Dsm

    hiyo route ya Lubumbashi-Kinshasa-Nairobi-Dar umeitoa wapi?,Timu inatoka Lubumbashi kuja Dar inafuata nini tena Kinshasa?,kama hoja yako ili base kwenye usafiri wa ndege wa Kenya airways bado route itakuwa ni Lubumbashi-Nairobi-Dar es salaam ( kumbuka Kenya airways wana ndege ya kila siku kutoka...
  7. mzee wa busara

    Nini kimetokea kwa ndege yetu ya Bombardier kusukumwa?

    Umeeleweka vzr sana mkuu
  8. mzee wa busara

    Car4Sale Toyota carina TI inauzwa

    Karibu sana kaka
  9. mzee wa busara

    Car4Sale Toyota carina TI inauzwa

    Oh sorry, engine ni 5A-FE ina cc 1490, kama inavyoonyesha kwenye picha hapo chini, Nashukuru kwa kunisahihisha mkuu Nytemare
  10. mzee wa busara

    Car4Sale Toyota carina TI inauzwa

    Nashukuru kwa kuonyesha Interest mkuu, ongeza kidogo amount ifike 7M
  11. mzee wa busara

    Car4Sale Toyota carina TI inauzwa

    Nauza Gari aina ya Toyota Carina Ti; Details zingine za gari hiyo ni Name: Toyota Carina Ti Engine: 5A- FE Engine size: cc 1490 Transmission; Automatic Fuel: Petrol Color: Silver Mileage 118000 Km Location: Arusha. Addition info AC; ipo na Inafanya kazi vzr AIRBAG:YES zipo Jack ...
  12. mzee wa busara

    Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

    Kaka ATCL kabla ya kununuliwa hizi ndege sita mpya za Magufuli walikuwa na Bombardier mbili zenye namba za usajili 5H-MWG, na 5H- MWF, tofauti ya hizo ndege za zamani na hizi bombardier mpya za Magufuli ni model, hizi mpya ni Q400 na zina speed kubwa na capicity ya abiria ni kubwa kidogo kuliko...
  13. mzee wa busara

    Nyumba ya Kulala wageni Chakodi Geust House iliyopo Uyole Mbeya yateketea kwa moto

    Nani kakudanganya kwamba Uyole ipo Mbeya vijijini?, Kama hujui jambo ni vzr kuuliza ili upewe ufafanuzi.Uyole ni sehemu ya Jiji la Mbeya, Kifupi jiji la Mbeya linaishia Uyole- Igawilo kwa barabara ya Tukuyu na Uyole Nsalaga kwa barabara ya Iringa na pia Iwambi kwa upande wa barabara ya Tunduma.
Back
Top Bottom