Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,191
Fursa ya uvuvi kama hukuzaliwa kando ya bahari, ziwa, bwawa, mito mikubwa kama Ruvu,Rufiji, kilombero, Malagarasi, Ruvuma, Kagera. Mchaga na maji ni mbingu na ardhi na pombe zao zile watafia majini. Wachaga walitangulia ila makabila mengine yana catch up.Sukuma ndio kabila litakalotawala miongo ijayo kwa wingi wao, hasa katika sekta za elimu.Kwenye madini mchagga hatumuoni. Ni ngosha kwa kwenda mbele. Njoo kwenye uvuvi mchagga hayupo leo anatuambia eti yuko kila mahali. Sasa wachagga wamebanwa mpaka hoteli kubwa ngurudoto zinageuzwa hosteli. Kwadanganye wachagga wenzio.
Katika kilimo Sukuma ndio konki kwa hiii nchi.Nakumbuka miaka ya 90+ Pale NMC SHY walikuwa wanakosa eneo la kutunza mazao mpaka wanapeleka uwnja wa kambarage.Zile zama sitazisahau, laana ya msukuma ni kuharibu mazingira hata hivyo msukuma kahamia kila eneo lenye fursa ya kilimo hapa TZ.