Recent content by mzee msakata

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu kioo natafuta nyimbo za muumini mwinjuma alizo imba na shem kalenga
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu naitafuta ile ya neema walio irudia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    waungwa mimi natafuta nyimbo za Tot band hasa za marehemu Banza stone natanguliza shukuran
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wakuu gwankaja na kioo nifanyieni nyimbo za Album ya mafahari wa tatu muumini Alichoki na banza stone pamoja na Album ya muumini na hamza kalala naamini uwepo wenu humu umetupa faida sana sisi vijana wazamani kidogo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    jamani kuna album ilitoka ya mafahari wa 3 muumin banza na Allychoki nyimbo zake nazitafuta sana pia album ya muumini alishirikiana na Hamza kalala nimetafuta sana bila mafanikio mwenye nazo atupie tukumbushe enzi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wakuu mwenye wimbo wa suma G vituko uswahilin aumwage hapa tu enjoy enzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wakuu minahitaji nyimbo za mrEbo mwenye nazo atupie hapa 2kumbushie enzi zetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hata Saa Nyingine Hua Nampigia Simu Usiku Wa Manane.

    Amekua babu yenu sasa hahahahaaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi wametumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliokuwa wanadai watoto wao kutekwa

    wizi wa watoto umezidi halafu nasikia jana kakanusha kwamba hizo habari sio za kweli mbaya zaidi Leo kumeibiwa watoto wengine wa shule ya msingi chemchem sasa hali imekua taflani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi wametumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliokuwa wanadai watoto wao kutekwa

    Leo tena nimepigiwa simu wameiba watt sita mmoja wakamdondosha baada ya kupigiwa kelele wana noah nyeusi haina plate no
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamuelewa Mbunge wa Vunjo, James Mbatia ?

    njaaa baba njaaa ila wanasiasa hawaendi mbunguni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Rostam Aziz

    siasa za Tanzania pasua kichwa unaweza kujichosha akili Leo rostam kaenda kumsifia magufuli
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

    huyu anakwambia anataka tbr iwe kama new York Johannesburg yaani iwe jiji huyu jamaa mi hata simpatii picha
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    mimi nanunua umeme wa 9150 kwa mwezi unit napata 75 lakini sizimalizi kuna unaulazima kila mwezi kununua wakati bado nina umeme? Tanesco naombeni ufafanuzi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dunia ina maajabu, je ulishawahi pata mkasa kama huu?

    hii chai bila vitumbua yaani chai kavu unakunywa huku unapuliza
Back
Top Bottom