Recent content by MZEE MAPOSENI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ndoa

    UTAFITI HURU Binadamu wote tuko "Curious" kwa maana kila binadamu ana hamu ya kujua mambo mengi sana hata yale ya hatari mtu atapenda ayajue. Walioanza kulewa walitamani kujua ukilewa huwa nini kinatokea? Wa dawa za kulevya walitamani kuonja ili wajue ukitumia madawa nini kinatokea? Huo ndio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shikamoo aitel kwa safety hii!!!!!!!!???????

    Umesahau tena M hapo kati ni Mtumpole na sio Mtu pole
  3. M

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Mapenzi Ghasia, Mdogo wa Mheshimiwa Waziri Hawa Ghasia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Spika anna makinda atahukumiwa kwa kuibebea serikali ya ccm kwa kutumia nafasi yake spika

    Makinda CCM, hawezi kukata tawi linalompa KULA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    hii list nimeikubali kabisaaaaa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Hata sisi tutazunguka nchi nzima kuwaeleza wananchi, na watatuelewa...

    Viongozi wote waliopo madarakani hivi sasa, walijaza form za uongozi na walifanya kampeni ya kusaka madaraka. Kwa hiyo watawala waliopo wote NI WAPENDA MADARAKA, wengine wakijitokeza nao wakapenda madaraka kama wale waliopo madarakani KUNA UBAYA GANI?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    TBC kwa maudhi SASA wameweka KWAYA! LOH!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila alivyomfunika jk

    Wakuu kwa heshima zooote nilimrekodi Kafulila (Mwanzo Mwisho - Audio) ninayo kwenye whatsapp nimechemka kui-attach hapa jamvini, nafanyaje ili niitundike JF?, nikijaribu napata option ya picha na link tu. Anayejua anisaidie.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila amjibu mwenyekiti wa CCM

    Please! Please! Please! Tafadhali naomba kwa umuhimu wa PEKEE, hotuba ya Kafulila ya leo IRUDIWE na vituo vyoote vya TV, najua TBC itawakera lakini alichoongea Kafulila NDICHO HASWAAAA!!! kilichopo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi mbona mmemwachia Issa Shivji peke yake kuliokoa taifa?

    Shivji hakuteuliwa kwenye Tume ya katiba, pia kaachwa kwenye bunge maalum la katiba, hicho ni kiashiria tosha kuwa hata hao waliona HATAFAA, ni maajabu! Nchi mbili zilizoungana, muungano huo umezaa nchi mbili na serikali mbili. SEMENI UKWELI.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jambo limezua jambo

    Issa Shivji anatambulishwa kama mwanasheria nguli wa mambo ya katiba Mbona kwenye tume ya katiba hakuwekwa? Dah pia amesahaulika kwenye Bunge maalum la katiba.au walimjua ni bingwa wa kuchanganya habari???
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka mapenzi yawe safii ukiwa mjini fanya haya...sio utani!

    UFOO SARO, DITOPILE MZUZURI, Mimi napita tu wakuu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Upepo Mkali Kinondoni

    Tabata hali kadhalika, mvua inanyesha na giza totoro, Tanesco wako bize na KATIBA MPYA!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Hata nikitofautiana na mwenyekiti wangu mradi naungana na wengi!

    Zanzibar wana katiba yao, Raisi wao, Bendera yao, Serikali yao, JK wala Waziri mkuu haruhusiwi kwenda kukagua miradi ya maendeleo kule ZNZ. Warioba alikuwa Mwanasheria wa Serikali, akawa Waziri Mkuu, Msomi wa siku nyingi na Jaji wa Afrika, hata Kamati ya Katiba aliyoiongoza ni ya watu makini na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Msaada tafadhali, hizi dawa zinazotangazwa kwenye TV na hasa siku za hivi karibuni za kampuni ya "HERBOWORX" na zile za "DR. RAHABU" kama kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia naomba anijulishe, akiweka na bei zake itakuwa poa sana.
Back
Top Bottom