Recent content by Mzee Mamvi

  1. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira Mpya - Dar hatujalipwa Fedha za Kujikimu, Kila tunapofuatilia, tunatishiwa kufukuzwa kazi

    Mliajiriwa na mfumo bila kuzingatia bajeti Ndio maana kulikuwa na muda mpaka mshahara wa kwanza kuingia ndipo uripoti Mtapewa tuu
  2. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Hello Hello naomba mnipokee

    Toa vitu Acha udodoma
  3. Mzee Mamvi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana acheni kujidanganya linapokuja swala la ndoa au mahusiano wanawake wana mipango mingi ya siri jinsi ya kuwangamiza

    Inategemea na wewe na huyo mwanamke mmekutana wapi kwa mara ya kwanza.
  4. Mzee Mamvi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

    Siku zote mwanaume ni tatizo kama hujui muulize mama yako Alafu hakuna tatizo kwa mwanaume kama ukimwelewa
  5. Mzee Mamvi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

    Mkuu mimi sina ushauri wa dhati. Si busara kumwandikishia mpenzi wako mali zako na usilinde uhusiano. Usimpende sana na furahi kuumizwa. Fanya hivyo.
  6. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la arusha mjini na monduli yagawanywe

    Kigongoni Napajua kona ya kwa babu samuge
  7. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Hivi watu mnaokaa uswahilini mnasavaivu vipi kipindi hiki cha joto kali?

    Tupaone kwako kwanza ndipo tujadili Kama hutojali
  8. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Kijiji kinaitwa Oltukai kipo Kata ya Esilalei wilaya ya Monduli Kuanzia kimeanzishwa hawajawahi kutumia maji ya bomba na kunafikika kipindi cha kiangazi tuu kwa kupitia mkoa jirani wa Manyara
  9. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, CHADEMA kuna biashara gani?

    Chadema ni 🔦 kwenye mambo yake nyeti Itifaki imezingatiwa
  10. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Hapo sasa Nasubiri update labda atamalizia
  11. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Ahsante kwa taarifa mama yake Yeriko Nyerere
  12. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Naona tukio la kishirikiana waziwazi, hali hii inanitisha sana

    Ongea vizuri na mshana
  13. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Katika ubora wake.
  14. Mzee Mamvi

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Nakubali sana maandiko yako Usituache please hadi mwisho
Back
Top Bottom