Recent content by Mzee Kimamingo

  1. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Ukitaka Kusajili Kampuni ya Ujenzi (Construction)

    Kibongo bongo kampuni ikifilisika sababu kuu mara nyingi ni madeni yasiyolipika
  2. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye mke mmoja bila mchepuko au mtoto wa nje ya ndoa. Je unapointi gani ya maana na ukusema kwa wanaume wenye watoto nje tukakuelewa?

    Iyo inajulikana sasa ndio kidume uende kabisa hospitali kuhasiwa na sio kwa sababu za kitabibu labda usipohasiwa utapata madhara inastaajabisha
  3. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye mke mmoja bila mchepuko au mtoto wa nje ya ndoa. Je unapointi gani ya maana na ukusema kwa wanaume wenye watoto nje tukakuelewa?

    Kumbe kuna wanaume wanafunga uzazi...yani wanajihasi wenyewe. Duu hii nayo naisikia leo.
  4. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania KERO Wahandisi wa Halmashauri tunaonewa

    LGA Siasa imezidi utaalamu na hili linasababishwa na Njaa maana LGA kuna Njaa sana MaDC na MaDED wengi hawana weledi zaidi ya uchawa ili wasitenguliwe. ERB,AQRB fanyeni kazi yenu huki LGA panawaumiza wataalam kisa Siasa
  5. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Kama watu watajitoa akili tarehe 9 na kuingia barabarani kutaka kupindua serikali, Matokeo watakayopata ni haya

    Naona dawa inawaingia vizuri yani sindano inapenya penyewe mnabaki kutoa milio
  6. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavuna ilichowekeza kwenye Rushwa! Wasiokuwa Watanzania walipata NIDA, mtawadhibitije sasa?

    Kwamba na wewe umeamini kuwa wanawatafuta waandamanaji kweli
  7. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tunaishi Mara Moja?

    Ukute hii ndio second chance yako na tayari ushayakanyaga
  8. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Upo kazini unatuhamasisha na posho mlima ushapewa kwa huu uhamasishaji. Ila apo TCRA mna lunch Kali Kuna siku niliizamia nikapiga ubwabwa na samaki mkubwa sana😀
  9. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

    Jitu jinga sana hayo yaliandikwq kabla ya Mudi kuwepo duniani
  10. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    HAkuna faida ndio maana tumepata watu wa ovyo kama wewe bora mshua wako angevaa ndomu.
  11. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

    Sijawahi ona ahadi za mgombea Nyepesi nyepesi kama za mwaka huu tangu nizaliwe.
  12. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Kwaiyo Mo dewji ni mfanyabiashara na wewe muuza genge la bamia pia utasema ni mfanyabiashara?
  13. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

    Kiukweli katoa ahadi za kitoto kama anahutubia watoto wa nasari.
Back
Top Bottom