Recent content by mzee Chibai

  1. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Aliyeumwa na Paka amefariki, dawa ilipatikana Kenya

    Pole sana mkuu..! Mm niliwahi kung'atwa na paka but kwa msaada wa marehemu mama yangu nilipona. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
  2. mzee Chibai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania In loving Memory of my Mama

    Pole sana mkuu. I know what you feel. Ni kama ilivyonitokea mimi. Mpaka muda haijawahi tokea hata siku moja sikumuaza mama yangu. Naona kama ndoto. R.I.P mama yangu kipenzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Huu ndio muundo wa askari kwa majeshi yote duniani

    Kukaa makambi ya jeshi haitoshi kutueleza haya. Umetaja vyeo vyote mbona hujamtaja army sergeant major? Au Sameja wa Jeshi? Pia vikosini wapo masameja wa vikosi, na kamandi mbalimbali? Pia kuna ma RSM kwa kila kikosi. Siwezi eleza mengi silijui jeshi kama wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

    Usitutishe (in maalim seif voice ) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa

    Wakuu naomba kujua mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa maana hawa watu wana nguvu sana kwenye maeneo yao kuna sehemu unakuta mtu anakubali kupelekwa polisi lakini sio kwa Afisa mtendaji kata au Afisa Tatafa.
  6. mzee Chibai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini huwa hamuamini pindi binti anavyokwambia hisia zake?

    Wapo wanawake waliowakataa wanaume mara ya kwanza na kuwakataa lakini badae mwanaume uyo anaoa yuleyule aliyekuwa anamkataa... usisahau mwanamke anajifunza kupenda
  7. mzee Chibai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hata mkiwa na hela zenu bado mtamuomba mwanaume hela?

    Asante
  8. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Sh. ngapi mkuu?
  9. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Asante mkuu
  10. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Asante mkuu
  11. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri
  12. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Asante mkuu kwa taarifa
  13. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Asante mkuu kwa taarifa
  14. mzee Chibai

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii gari, uimara wake na ubora wake. Pia kuhusu spea. Long trip na short trip na vipi kuhusu ulaji wa mafuta.
  15. mzee Chibai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhana ya kuoa mke mmoja inabidi ibadilishwe kutokana na hali halisi

    Kweli
Back
Top Bottom