Kwakweli seafarers wa tanzania tuna safari ndefu sana na sijui tutafika kama wenzetu walipo. Wakenya wanakuja kusoma bongo lakn tukijilinganisha nao wao wako vizur kuliko sisi
Mkuu kwakwel ww ulipaswa uwe mwenyekiti wa TASU. Me niko mwaka wa mwisho DMI nachukua uhandisi meli pale but nimekuwa nikifatilia wanaharakati wa haki za mabaharia na kwamala yakwanza nmekuona ww
Mwaka huu ilikuwa hapa dar. Lakini pia mabaharia hawana mshahara elekez. Ebu imagine mwanza kwenye kampun kubwa ya mzee flan mkurya chief officer anakula 500k ebu jiulize. Oiler na sailor's wa kawaida watalipwa kias gan
Siku ya mabaharia kwangu mm naona ingetumika kwanza kufungua fursa na uelewa kwa mabaharia wachanga kwani wengi wako dmi lakn hawajui wakimaliza wanaenda wapi, kuwekwa mazingira mazuri ya upatikanaj wa kazi ja kuondoa gharama za agent fee ili kupata kazi nje ya nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.