Recent content by mzee ally

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Old School:Karibuni tukumbushie Makundi ya zamani ya Hip Hop/Bongo Fleva na Hits songs za zamani tu

    Ukipata na Mimi unirushhie tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Paul Kagame awakamata na kuwashikilia Majenerali 3 wa Jeshi

    Unaposema luteni jenerali hujaelewa kama maana yake ni jenerali pia
  3. M

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Kwa hiyo swala la ushoga unaliona sawa tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Utaondoaje neno lilipo kwenye maandishi hawa wanataka ushoga tu na kitu ambavho hakikubaliki nchini
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara bandarini

    samahani naomba unitajie TPGS 6
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Ukara na Ukerewe wagoma kupanda kivuko cha MV Ukara na Mv Sabasaba kwa kuhofia usalama wao

    A Tatizo letu watanzania hats tukiona chombo kimejaa tunalazimisha twende ili tufike hatutaki kabisa kusubiri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajali MV Nyerere: Waziri Mkuu amsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa TEMESA kupisha uchunguzi. Aunda Tume ya uchunguzi

    Unaitumia picha ya MTU vibaya hiyo picha sio ya huyo Dr. Mgwatu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa meli kubwa kuliko zote katika Maziwa Makuu: Ina uwezo wa kubeba abiria 1,200

    Sasa tukiamua kuboresha kilimo bila miundombinu hizo mbolea majembe vitafikaje huko kwenye mashamba na hayo mazao yatafikaje sokoni Lazima ujue "without market its like no production" sasa kama hatuna miundombinu ni sawa na kuwa hatuna kilimo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe Jitathmini la sivyo chama kitakufia mikononi

    Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania pia ndio chama cha pili kwa kuwa na wafuasi wengi wabunge na madiwani kikiongzwa na Chama Cha Mapinduzi CCM. Katika kipindi cha miaka ya 2010 - 2015 CHADEMA kilikimbiliwa na kundi kubwa LA vijana waliojiunga kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao

    Anasikiliza sana kelele za watu sasa atajifunza kama mambo ya familia yanahitaji busara zaidi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wasidhanie kumfunga Lijualikali wanamuondolea sifa za kuwa Mbunge

    Mbona Tundu lissu hakwenda mahakamani anasubiria mtu amefungwa anakimbilia media zina msaada gani sasa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanakijiji Mvumi - Chamwino wachoma moto gari na kuuwa maafisa wa Taasisi ya Kilimo

    Sasa hizo ni Siasa unaleta waliouawa ni watafiti na na sababu hazitokani na Siasa hata usipotoshe umma
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuchu Sound

    jamani mwenye nyimbo ya kusema sema na marafiki naomba anitumie zote za chuchu sound band
Back
Top Bottom