Recent content by mzawa_original

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko nzuri la kuuza nyanya

    Mm nipo hapa dar ila mzigo unatoka mkoani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Tutaweka utaratibu kwa wakazi wa Dar kufanya manunuzi kwa kutumia Credit Cards ili kudhibiti ulipaji kodi

    Ni vibaka waliokuwa wametanda mji mzma Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

    Mahaana waitu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watu ndani ya Mlimani city Mall

    Hayo ndio maisha dar mkuu lazma kukubali mabadiliko Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko nzuri la kuuza nyanya

    Poa mkuu ntafika mabibo kesho kutwa ni check bei Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko nzuri la kuuza nyanya

    Mkuu sijalazimisha ndio maana ninatafuta kuanzia now Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko nzuri la kuuza nyanya

    Ndugu natarajia kuvuna nyanya zangu kwa kipindi hiki cha January natafuta soko nzuri kwa tenga kuanzia 50 Na kuendelea nakuletea ulipo kikubwa maelewano Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la nyanya kwa tenga.

    Mkuu ntapambana nao hao kwasababu hata mm nipo mjini mda mwingi nimesha chukuwa tafadhari nyingi asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la nyanya kwa tenga.

    Habari ya asubuhi wapendwa khari ya mwaka mpya ndugu natarajia kuvuna nyanya zangu shamban ili kuondoa ukata wa January natafuta bei nzuri ya nyanya kuanzia tenga 50 Na kuendelea katika kipindi cha mwezi huu ningependa kujua bei nzuri ikoje Na eneo gani naweza peleka mzingo wangu inapatikana...
Back
Top Bottom