RC Makonda: Tutaweka utaratibu kwa wakazi wa Dar kufanya manunuzi kwa kutumia Credit Cards ili kudhibiti ulipaji kodi

Nafikiri wazo lake ni zuri san na inabidi tufike mahali tuikubali technology kama the best alternative ya kutufikisha kwenye maendeleo makubwa, ila tu kwa hali ilivyoitachukua muda sana kuweza kuboresha miundombinu ya kulipa kwa kadi.
 
Jamaa anahitaji kupata elimu au kama ana wazo ajarìbu kukaa na expert wampe ushauri kisha aje public kuongea
 
Muibua projects ambaye hajawahi kumaliza hata moja.
Ujenzi wa ofisi za walimu Dar umeishia wapi, naomba zile bati pale kongowe ulizozungushia ule uzio unipe mm nika ezekee kibanda changu badala ya kuzitelekeza pale maana navujiwa.Na ule mchanga turuhusu wananchi tujigawie tutakushukuru sana na thawabu utapata
 
Ujenzi wa ofisi za walimu Dar umeishia wapi, naomba zile bati pale kongowe ulizozungushia ule uzio unipe mm nika ezekee kibanda changu badala ya kuzitelekeza pale maana navujiwa.Na ule mchanga turuhusu wananchi tujigawie tutakushukuru sana na thawabu utapata
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema ofisi yake itaandaa utaratibu ili wakazi wa jiji la Dsm wawe wanafanya manunuzi yao kwa kutumia credit cards badala ya fedha taslimu. Makonda amesema utaratibu huo ndio unaotumika katika miji mikubwa yote duniani ambako watu wanaotumia cash ni wachache sana.

Makonda amesema utaratibu huo utawezesha kudhibiti ulipaji wa kodi kwani utaratibu wa sasa wa kutumia EFD machines unatoa mwanya wa ukwepaji kodi.

Mkuu wa mkoa Makonda amesema hayo katika mkutano wake wa kazi na watendaji wote wa Halmashauri za jiji la Dsm pamoja na viongozi wa TRA mkoa wa Dsm.

Source: Estv habari

Maendeleo hayana vyama!
Wakazi wangapi wa Dar wana credit cards?
Watayaweza masharti /makato ya credit cards kwa vipato vya Bongo?
 
Ndio tatizo la kuwa na viongozi vilaza kama Bashite. Wanakurupuka Tu kuongea mapumba yake.
Zero in brain zero on performance.
Jamaa zero Sana kama matokeo yake ya mwanza sec
 
Back
Top Bottom