Recent content by mzambia

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Kilimanjaro Wawashikilia Watuhumiwa 18 akiwemo Kiongozi wa BAVICHA kwa Mkusanyiko Usio Halali

    Yaani watu wapo safarini halafu mnasema mkusanyiko na je maroli yanayosomba watu 😂😂😂
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Hivi ni mimi peke yangu nashindwa kufungua picha yeyote ile humu JF au kuna tatizo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kuzaa nae!

    Nipo mama karibu sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) Kimetoa tamko na kulaani Jaribio lililoshindwa la kumuua Mheshimiwa Tundu Lissu

    Angalieni tarehe hiyo ya taarifa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli hili suala?

    Jamani naombeni nianze moja kwa moja kwenye mada, maana kuna sehemu nilikuwa napata moja moto moja baridi sasa mwenzangu mmoja baada ya kukolewa na maji akatoa kauli hii "hapa ni kunywa na kukojoa ila heshimu nyege tu, maana bila nyege usingezaliwa wewe" JE KUNA UKWELI HAPA? Sent using Jamii...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa maalum kwa wana meta secondary school

    Jamani karibuni nyote tukumbushane yale yote tuliyopitia meta secondary school, mi binafsi namkumbuka mwalimu MWANGOKA, MAHENGE NA JOB karibuni kwa visa na vituko. Post sent using JamiiForums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pombe imenisababisha nifukuze ndugu wa mama mtoto wangu, nawaza jinsi ya kusolve tatizo

    Upo sahihi kunywa tena ili uwafikishie ujumbe vizuri. Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini dalili kuu ya kuwa na HIV ni kuogopa kupima

    Sikutumia mkuu ndo maana nahaha hapa mpk basi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini dalili kuu ya kuwa na HIV ni kuogopa kupima

    Sasa nitaendaje kupima wkt nimeshasema dalili kuu ya kuwa na VVU ni kuogopa kupima.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini dalili kuu ya kuwa na HIV ni kuogopa kupima

    Wanajukwaa kama kichwa kinavyosema hapo juu, hapo mwanzoni nilikuwa mpimaji VVU mzuri sana , sasa juzi juzi hapa nikampata mrembo fulani ambaye kwa kweli alinivutia sana mpk kupelekea kufikia tamati ya kuingiliana kimwili. Sasa kama wiki tatu zimepita nikamfumania anabugia dawa zetu zile na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wewe mwanaume una uwezo wa kuzalisha kabla hujaoa fanya haya

    1. Fanya mapenzi hata mara moja tu na msichana ambaye hakuvutii ila tamaa tu bila kutumia condom majibu utayapata muda si mrefu. 2. Fanya mapenzi na housegirl bila kutumia condom, utayapata majibu muda si mrefu. 3. Majibu utakayoyapata ndo ujue wewe una uwezo au la.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake/wasichana wenye mimba wanafanana kutembea?

    Swali kama lilivyo hapo juu bado huwa najiuliza ni kwa nini wanawake au wasichana wenye mimba ya kuanzia let say miezi sita kwenda juu, hufanana sana miondoko yao au ni wanaigana tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Nimeanza kwa hiyo heading kwa makusudi kabisa maana kumekuwa na eidha ulimbukeni ama kujitetea kwa baadhi ya watu hasa baada ya kuguswa kwenye sakata zima la madawa ya kulevya maana ni wengi sana wameshutumiwa kuhusu kughushi vyeti tokea enzi za msemakweli kainerugaba lakini sikusikia mt...
Back
Top Bottom