Recent content by mzalendohuru

  1. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kuna machangudoa Moshi?

    Duh!nilikua sielewi nikija moshi taponaje,kumbe hao na huko wapo,itabidi ninunue hizo bidhaa aisee!
  2. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Msafara wa Sugu washambuliwa kwa mawe; Dereva wake aumizwa

    Wanakuita sugu...."nani?"wanakuita Sugu,Sugu Sugu sugu,suguu...!CDM kuna majimbo tushashinda,kama Mbeya mjini,Arusha,Singida Mashariki,Arumeru,Kibamba,Nyamagana kwa mnyama Wenje,na Iringa mjini,ongezea mengine...
  3. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Akifa mama yako mzazi au mke/mume wako yupi utaumia sana? Kuwa mkweli

    Bro,mijadala hii ilishafungwa kwa tafiti mbalimbali duniani,its obvious MAUMIVU YA MKE au MUME ni makali kuliko ya MAMA MZAZI,kama mnabisha ni kiburi na kama bado unaleta kiburi basi hautibiki!
  4. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Kutoka ute mweupe kwenye uume

    Gonorea hilo,umekoswakoswa sana ni U.T.I,ila 98%una gono,zama za kuwaamin mademu na kwenda kavu zilipitwa,angalia sana kijana!
  5. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawaolewi?

    Zomea hilo "yoooooooooooooo"nyoo eti siolewi,siolewi nina kipato,huna lolote,sema huna quality za kuwa mke bora,wanakuchapa na wanasepa,unaringa una kipato vi millioni tatu hivyo na kigari chako cha mkopo eti siolewi,mna fake kila kitu,kuanzia nywele,ngozi,the way you walk,the way you...
  6. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

    Nilikua nalipenda boga mwanafa,lakini from today silipendi tena,mabogus haya!
  7. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    Kuzini ni tabia ya mtu,na tupo tofauti,myself naheshimu hisia za mwenzangu,ni pm for more conversations!
  8. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    Gamba is on the beat....
  9. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania ADC wampitisha Chief Lutasola Yemba kuwa mgombea urais Tanzania bara na Hamadi Rashidi ZNZ

    Nahtaji kadi yao,ili october tuiondoe CCM na nina uhakika ADC itaingia madarakani mwaka huu,watanzania kilio chenu kimesikika tunaenda kuchukua nchi october,ADC hoyeee!!
  10. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa darasa la tano amuua mwanafunzi mwenzake

    Nilipokua nakua nilikua napenda sana michezo ya mawe,na nilikua sioni kama huenda kuna madhara,ila nilivyo sasa,hata nikikuta watoto wanacheza utani wa mawe lazima niwakataze!!
  11. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Mikufu ya dhahabu wanayovaa wasanii Tanzania

    Myne is original!!
  12. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Shilole akutana na Rungu la BASATA, Afungiwa mwaka mmoja kujishughulisha na shughuli za sanaa

    Maskini Nuhu itakueje sasa???
  13. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Kwani tume ya uchaguzi wanaweza kumkata tena?

    Wamkate????ili iweje...
  14. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Ni upuuzi kujadiri mada ya upuuzi,nami ni bora niwe mpuuzi kwa muda kumjibu huyu mTISS fake,.....mi nashangaa great thinkers mnapopoteza muda kujadili hii maada,first of all toka lini CCM imekua na mapenzi na CDM na UKAWA,au upinzani,leo mpuuzi fulani eti anatoa siri kwa adui na bado anamtisha...
  15. mzalendohuru

    JamiiForums Tanzania TETESI: Dr. SLAA AANDIKA BARUA YA KUPUMZIKA SIASA

    Magamba tulieni dawa ya sindano iwaingie
Back
Top Bottom